abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Soko lake unalipateje wanao nunua tunawatafuta wapDuh ujipange hiyo biashara sio ya kitoto. Hao kondoo inabidi wawe wamehasiwa ili kuondoa "male odor"/halufu ya kiume/pumbu/korodani ndio wakubaliwe.
Umri na uzito wa kondoo lazima uzingatiwe, vipimo vya magonjwa kabla na baada ya kuchinjwa n.k
Kusema kweli sijawahi ona mtu binafsi ana export nyama nje ila kuna kiwanda cha nyama Kibaha/Soga na Frostan/Mikocheni hawa ndio wana export.Soko lake unalipateje wanao nunua tunawatafuta wap