dadapesa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 366
- 659
Japo na madhaifu yake na sura ngumu ka baba ake ila Huyo huyo unaemuona ana uwezo mdogo ndo atakuja kukufaa maishan. Kwa utulivu, kukuvumilia kipind cha shida na kukuzalia watoto wazuriNdo bado hata miezi miwili haina hilo tukio bado jipya kaka bi mkubwa ana force binti aende home kwetu now yupo kwao