Ulishawahi kufanyia mapenzi kwenye gari?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu salama?

Acha niwahi kwa mada, nakumbuka mwaka jana December niligegeda mdada flan kwenye gari japo nilisema siji fanyia huu uchafu kwenye gari kwasababu ni kama kujitafutia mikosi na laana.

Ilikuaje? Siku hio tulitoka out na huyu dada sio dem wangu alikua rafiki sasa kumpeleka kwao mvua ikawa inanyesha si unajua madem hawa kuloana hawawezi akasema nisubir subir mvua iishe hapo tuko getini.

Mvua ndo ikawa inazid kuwa kubwa haiishi sijui hata ilikuaje ghafula tukaanza kashi kashi kwa fujo mara nimevua pichu ghafla nmelaza kiti ghafla nimeanza mgegedo baada ya wazungu kutoka ndo nikapata akili kuchek mvua imeanza kata dada akasepa chap hata mvua hakuogopa tena[emoji28][emoji28].

Nilijutia sana ila mpaka sasa sijawai fanya huu ujinga aseee nilitubu, ulishawai kutana na kisanga kama hiki? Ilikuaje??
 
Wakuu salama?
Acha niwai kwa mada, nakumbuka mwaka jana december niligegeda mdada flan kwenye gari japo nilisema siji fanyia huu uchafu kwenye gari kwasababu ni kama kujitafutia mikosi na laana.
Utakuwa na Benign tumor kichwani, ishakufanya uwaze kufanya mapenzi kwenye gari!
 
Mbavu zangu tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf kila mtu ana gari kasoro miye tu hapa!![emoji134][emoji134][emoji134]
Njoo kwenye trekta langu nkupe lift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…