akilinzuri
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 387
- 424
Dada alikuwa rafiki, nime amini hakuna urafiki kati ya simba na swalaWakuu salama?
Acha niwahi kwa mada, nakumbuka mwaka jana December niligegeda mdada flan kwenye gari japo nilisema siji fanyia huu uchafu kwenye gari kwasababu ni kama kujitafutia mikosi na laana.
Ilikuaje? Siku hio tulitoka out na huyu dada sio dem wangu alikua rafiki sasa kumpeleka kwao mvua ikawa inanyesha si unajua madem hawa kuloana hawawezi akasema nisubir subir mvua iishe hapo tuko getini.
Mvua ndo ikawa inazid kuwa kubwa haiishi sijui hata ilikuaje ghafula tukaanza kashi kashi kwa fujo mara nimevua pichu ghafla nmelaza kiti ghafla nimeanza mgegedo baada ya wazungu kutoka ndo nikapata akili kuchek mvua imeanza kata dada akasepa chap hata mvua hakuogopa tena[emoji28][emoji28].
Nilijutia sana ila mpaka sasa sijawai fanya huu ujinga aseee nilitubu, ulishawai kutana na kisanga kama hiki? Ilikuaje??