Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Wanaume wenzangu hivi Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia ata papuchi?


Na kwa mademu je ulishawahi kuhongwa bila kutoa Papuchi?

Binafsi tayari na sio mara moja ila now ukiniomba hela lazima nikupe location ya kuja kuchukua haichezi mbali na gheto au gest kanuni yangu huwa situmi hela kwenye simu kama sijawahi kukulamba.
 
Back
Top Bottom