Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Nilipigwa 36,000 Tsh na mwisho wa siku hata busu sijapiga, mbaya zaidi mtaani walizusha nimekula ila ukweli naujua mwenyewe
Daa mkuu hiyo ni ndogo kuna watu wanahonga mpaka million halafu wanaambulia patupu ,halafu staili ya mademu wa aina hii ukishawatongoza kabla hajatoa jibu utasika ,naomba nikopeshe hela nitakuludishia ,ukimpa tu papachu huli na pesa hulipwi.
 
Mkuu thamani ya hela inategemea wakati na uwezo wa mhusika, kipindi na honga hivyo nilikua mwanafunzi so ni bora ningehonga milioni kwa sasa kuliko ile 30+ k , it was a disaster to my financial position at that time
Af mwamba nilinunua ad furush la chupi daa, najua kuna muhuni alijua anazivua tu
 
Acha tu ndugu unanunua vyupi vya kutosha full marash alafu anampelekea mwanaume mwenzio kwenda kuzivua kirahis Sana ,yaan madem wa namna hiyo mm naonaga wanakuwaga na mwisho mbaya Sana coz anaruka mkojo na kikanyaga mavi.

Hiyo Ni laana mbaya Sana yaan ununue chupi alaf wewe akubanie kabisa na kumpelekea mwingine kirahis
 
Mbona kawaida sana!nilihonga miezi sita na simu nikamnunulia ila hata kiss sikuambulia!kila ukimgusia maswala ya papuchi ananuna anasema nina haraka sana!ilikua kila siku lazima nmnunulie kitimoto,kila wiki kusuka!hapo bado kumtoa out kila weekend na hata kiss sikupata[emoji28][emoji28],
Siku nikakuta message kwenye simu ake "bby una dick kubwa sana hapa k yote inawaka moto!
Hyo ndo siku niliyoamua kuachana naye rasmi
 
[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Duuh unamfanyiaje dem mambo yote haya kabla hujampiga nyembe
 
Back
Top Bottom