Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Daa mkuu hiyo ni ndogo kuna watu wanahonga mpaka million halafu wanaambulia patupu ,halafu staili ya mademu wa aina hii ukishawatongoza kabla hajatoa jibu utasika ,naomba nikopeshe hela nitakuludishia ,ukimpa tu papachu huli na pesa hulipwi.
Noted
 
Komaaa
 
Unamnunulia vocha ya 5000 dem anaMpunguzia mchepuko wake
Ukiomba K unanyimwa anapewa mwingine
Unamtumia 50, 000/- anaMpunguzia 20, 000 bwana wake
Huu ni Uduansi
Hupendwi!
 
Hahaha nimeipenda hiii
 
Kapata ukimwi nn!?
 
Idiot
 
Daa mkuu hiyo ni ndogo kuna watu wanahonga mpaka million halafu wanaambulia patupu ,halafu staili ya mademu wa aina hii ukishawatongoza kabla hajatoa jibu utasika ,naomba nikopeshe hela nitakuludishia ,ukimpa tu papachu huli na pesa hulipwi.
Under-cover
 
Hukupendwa hohehahe mtumainiye Mungu
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…