Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji1787]Lucy mshenzi sana alikuta 50,000 yangu na outing za kutosha, akaishia kunipiga block. Alipa fundisho hakuna kuonea huruma mwanamke.
Alinukuta anaumwa na hana hela ya kujitibu. Nikampeleka hospitali kupima na dawa ikaenda 30k. Baada ya kupona nikaona sasa ni zamu ya kulipa ile hela. Kama kawaida ukiwa na hela hatutongozi, nikamtia kwenye gari tutafute faragha tupige stori. Breki ya kwanza lodge. Akagoma kushuka, akaniambia hayupo vizuri kama ninataka basi kesho atakuja mwenyewe hapo nijiandae tu. Kubabeki kumbe ninaliwa tyming kesho anasafiri. Jioni napigiwa simu alipata dharura nimtumie nauli arudi kwa ajili ya jambo letu tu yaani kwa ajili yangu. Nikatuma 20k kesho atarudi.
Kesho piga simu sana hola. Baadae nikala block kila nikipiga simu bize. Nikamtumia voice note kumdharau na kumuita tapeli na kujifanya hajanikomoa.
Sent using Jamii Forums mobile app