Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Lucy mshenzi sana alikuta 50,000 yangu na outing za kutosha, akaishia kunipiga block. Alipa fundisho hakuna kuonea huruma mwanamke.
Alinukuta anaumwa na hana hela ya kujitibu. Nikampeleka hospitali kupima na dawa ikaenda 30k. Baada ya kupona nikaona sasa ni zamu ya kulipa ile hela. Kama kawaida ukiwa na hela hatutongozi, nikamtia kwenye gari tutafute faragha tupige stori. Breki ya kwanza lodge. Akagoma kushuka, akaniambia hayupo vizuri kama ninataka basi kesho atakuja mwenyewe hapo nijiandae tu. Kubabeki kumbe ninaliwa tyming kesho anasafiri. Jioni napigiwa simu alipata dharura nimtumie nauli arudi kwa ajili ya jambo letu tu yaani kwa ajili yangu. Nikatuma 20k kesho atarudi.

Kesho piga simu sana hola. Baadae nikala block kila nikipiga simu bize. Nikamtumia voice note kumdharau na kumuita tapeli na kujifanya hajanikomoa.
[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wenzangu hivi Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia ata papuchi?

Na kwa mademu je ulishawahi kuhongwa bila kutoa Papuchi?

Binafsi tayari na sio mara moja ila now ukiniomba hela lazima nikupe location ya kuja kuchukua haichezi mbali na gheto au gest kanuni yangu huwa situmi hela kwenye simu kama sijawahi kukulamba.
Kuna wale niletee kwanza nguo au simu nitakupa
 
Mbona kawaida sana!nilihonga miezi sita na simu nikamnunulia ila hata kiss sikuambulia!kila ukimgusia maswala ya papuchi ananuna anasema nina haraka sana!ilikua kila siku lazima nmnunulie kitimoto,kila wiki kusuka!hapo bado kumtoa out kila weekend na hata kiss sikupata[emoji28][emoji28],
Siku nikakuta message kwenye simu ake "bby una dick kubwa sana hapa k yote inawaka moto!
Hyo ndo siku niliyoamua kuachana naye rasmi
Duu una moyo unahonga simu hujamla kuna demu kaniomba simu 2 month nimeporezea
 
Mbona kawaida sana!nilihonga miezi sita na simu nikamnunulia ila hata kiss sikuambulia!kila ukimgusia maswala ya papuchi ananuna anasema nina haraka sana!ilikua kila siku lazima nmnunulie kitimoto,kila wiki kusuka!hapo bado kumtoa out kila weekend na hata kiss sikupata[emoji28][emoji28],
Siku nikakuta message kwenye simu ake "bby una dick kubwa sana hapa k yote inawaka moto!
Hyo ndo siku niliyoamua kuachana naye rasmi
Hakukupenda
 
Back
Top Bottom