Hapo ndo tunashindwa kuelewa,yani mtu kabisa katoka shinyanga anakuja kahama halafu anafika geto ananigeuka na huku tulikubaliana anakuja kunipa mzigo na nauli nimemtumiaNilikuwa najiuliza kwa nn wanabadilika ghafla
Ni kwa sababu ni emotional creatures