muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,048
- 1,479
Tukiendelea kusubiri list ya watia nia watakaopitisha, unajua wanaume tunapenda kula mboga za namna mbalimbali. Sasa kipindi fulani nilikuwa na demu wangu tulizoeana na tulikuwa na mengi tumepanga kufanya maishani. Katika harakati za maisha nilipata kazi mkoa fulani ambayo itanichuklua siku mbili kusafiri mpaka kufika kwake.
Bwana wangu fimbo ya mbali haiui nyoka ilinipata, mwanzoni nilijitahidi kurudi baada ya miezi mitatu lakini baadae nikasema kwani kinachonipeleka kwake hakuna mbadala hapa hapaa.
Nikaanzisha mahusiano na mchepuko mmoja alikuwa yupo vizuri. Nipokolea jikoni nikaanza kumpotezea demu wa ngu wa zamani tena mlokole kwa sababu mbali mbali baada ya mda nikampiga block maana alitaka kunifuata huko nilipokuwapo.
Baada ya mazoea na demu mpya ikafika mahala sifurahii tendo la ndoa yaani mpaka nifikie mshindo lazima nifute hisia za X-wangu wa zamani nimalize la sivyo ni kutwanga maji kwenye kinu. Nijikuta nakumbukia ladha flani ambayo ni very UNIQUE kwa demu wangu wa zamani ili kufikia mshindo.
Ilifika mahala nikafikiri nina matatizo au nimelogwa. Ilifika kipindi ilinibidi nifunge safari kwenda kwa X-wangu baada ya kupotezani kwa miezi 4, nikaenda kupiga usanii wa kupoteza simu, matatizo kazini, na swaga ili nisomeke. Nilikaa wiki moja tunda lilikuwa badika bandua na hamu haziishi.
Nilichojifunza ni kuwa kila mwanamke kwenye swala la sex ana ladha yake special, na mkizoeana kwa muda inakuwa kama vile umepigwa muhuri kwenye mwili na akili yako ambayo itadumu maishani mwako. Hata mkiachana kuna siku utamkumbuka tu.
Take care!