Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Mkuu unaakili Sana ww afu ww ni mafia ngoja nikutakie mapinduzi day [emoji110]
 
Na nyumbani mkakuta ugali? Bado nacheka yaani, dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Home kulikua na wali maharage dada ila nao sikula nililala njaa, make tulitembea tukafika mishale ya nne hivi bro akanimimd mwanafunzi natoka wapi mida hiyo so akawa anataka kunipa kichapo nikakimbia kujifungia nisipigwe... nikalala hadi asubuhi yani hata huo wali sikula pia 😁
 
Ulitakiwa upunguze umalayaaaa ,kwanza ulikuwa mwanafunzi na ungekutana na mimi usiku huo ningekucharaza bakora
 
Hakika kabisa mtaalam, Niko kwenye mfungo ila imenibidi nijibu hii comment
 
Kuna binti kabla sijampatia mwaliko nikamuuliza unatumua kilevi chochote? Akanijibu hapana .

Baada ya kufika eneo la tukio mwenzangu nashanga kaagiza AMARULA kubwa !

Nikasubiria ameanza kuinywa , nikamuuliza unakumbuka uliniambia utumii kilevi chochote, imekuwaje umeagiza hicho kilevi?Anachoongea akieleweki.

Nika lipa billi zangu nikamwacha na AMARULA lake.
 
Sasa kosa lake ni nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama ulikuwa huna helaa ulimuita wa nini mzee ungemchana tu me hapa nina hela ya soda.
 
🤣🤣 🤣🤣🤣🤣🤣 Amarula la alf sarasini😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…