Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,066
Hahaaaa!Mademu wa mwanza waroho sana ,mi nimewagonga sana kupitia misosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa!Mademu wa mwanza waroho sana ,mi nimewagonga sana kupitia misosi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aiseeeMimi nilimkimbia shuga mamy na bill yake mimi naagiza maji nikijua mlipaji yeye yeye anaagiza kilimanjaro kubwa na supu ya kuku
Nilimuacha hapo
Mkuu unaakili Sana ww afu ww ni mafia ngoja nikutakie mapinduzi day [emoji110]Niko makini Sana kwenye hilo,kwanza naangalia Aina ya kinywaji unachokunywa, speed yako ya unywaji,maongezi yako, comfortability yako, naangalia mazungumzo je tunazungumza lugha moja?hapo naweza kujua game linaendaje...nikiona sikuelewi elewi mie huyo naomba zangu Coca-Cola bariiidiiiiii
Afu kilichoniuma sana nilikua natembea kwa mawazo ni ile kitimoto yani nimeagiza halafu hata sikuitia machoni.....Mungu atanilipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Home kulikua na wali maharage dada ila nao sikula nililala njaa, make tulitembea tukafika mishale ya nne hivi bro akanimimd mwanafunzi natoka wapi mida hiyo so akawa anataka kunipa kichapo nikakimbia kujifungia nisipigwe... nikalala hadi asubuhi yani hata huo wali sikula pia 😁Na nyumbani mkakuta ugali? Bado nacheka yaani, dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nlianza la nne dear baada tu ya mtihani wa mockSema umeanza kukulwa zamani, yaani form four tayar ushaanza
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ulitakiwa upunguze umalayaaaa ,kwanza ulikuwa mwanafunzi na ungekutana na mimi usiku huo ningekucharaza bakoraHome kulikua na wali maharage dada ila nao sikula nililala njaa, make tulitembea tukafika mishale ya nne hivi bro akanimimd mwanafunzi natoka wapi mida hiyo so akawa anataka kunipa kichapo nikakimbia kujifungia nisipigwe... nikalala hadi asubuhi yani hata huo wali sikula pia [emoji16]
Hakika kabisa mtaalam, Niko kwenye mfungo ila imenibidi nijibu hii commentMnaleta ubishoo mbele ya baharia 🤣🤣🤣,,, huyo muhuni kanifurahisha sana tunahitaji wajuba kama hao wanaume tumepungua sana sikuhizi.
We unajua kabisa ukiitwa mtoko lengo ni kuchanyatwa unakuja na dada yako kujiwekea uzio halafu bado kushikwa mbunye na nido hutaki. Hamjui wajibu wenu poteeni harakaaa 🤣🤣🤣🤣
Sasa kosa lake ni nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama ulikuwa huna helaa ulimuita wa nini mzee ungemchana tu me hapa nina hela ya soda.Kuna binti kabla sijampatia mwaliko nikamuuliza unatumua kilevi chochote? Akanijibu hapana .
Baada ya kufika eneo la tukio mwenzangu nashanga kaagiza AMARULA kubwa !
Nikasubiria ameanza kuinywa , nikamuuliza unakumbuka uliniambia utumii kilevi chochote, imekuwaje umeagiza hicho kilevi?Anachoongea akieleweki.
Nika lipa billi zangu nikamwacha na AMARULA lake.
🤣🤣 🤣🤣🤣🤣🤣 Amarula la alf sarasini😁Kuna binti kabla sijampatia mwaliko nikamuuliza unatumua kilevi chochote? Akanijibu hapana .
Baada ya kufika eneo la tukio mwenzangu nashanga kaagiza AMARULA kubwa !
Nikasubiria ameanza kuinywa , nikamuuliza unakumbuka uliniambia utumii kilevi chochote, imekuwaje umeagiza hicho kilevi?Anachoongea akieleweki.
Nika lipa billi zangu nikamwacha na AMARULA lake.
Shemeji mambo yangu niachiwe mwenyewe najua hivo ndio wataka kusema 😁Pole sana Shemeji... Au niseme safi sana...
Alikuweza shemeji... Pole sana...Shemeji mambo yangu niachiwe mwenyewe najua hivo ndio wataka kusema 😁
Na ile kitimoto ya pale "The dream" ilivyo tamu daah, huo ni ukatili.Afu kilichoniuma sana nilikua natembea kwa mawazo ni ile kitimoto yani nimeagiza halafu hata sikuitia machoni.....Mungu atanilipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukialikwa na huna hela siku hio unakataa date? Halafu mtu mwenyewe huwezi mdhania kuwa anaweza kukukimbiaMwana dada hakikisha unatoka na pesa au card ya bank katika matembezi yako muhimu.
Bora ni sahau simu lakin ni card ya bank wala pesa Kwa mkono.veri simpo
Nshapoa shemelaAlikuweza shemeji... Pole sana...