Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Khaaaaa
Kazi ipo🀣🀣🀣
 
Mpaka umri huu wanaokujaga in pair, triplets, quadruplet, wanaokata bogi nishawakimbia sana na sitaacha kuwakimbia na kuwaachia bili hadi waseme.
 
Wanawake Huwa. Mnazingua sana ukitolewa out agiza kinywaji au chochote kitu ambacho unaweza kujilipia , sio unaagiza mavinywaji au vitu vya gharama kubwa wakati hujui MFUKO una Nini wa huyo bwana Ako au hakikisha huyo mtu wako anakupa uhakika kwamba agiza unachotaka
 
Uko wapi?

Sitokukimbia...!
 
Uko wapi?

Sitokukimbia...!
 
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…