UCHAWI? Hamna kitu kama hicho. Kila tukio lina scientific explanation. Ni kufikiria na utapata jibu. Fanya uchunguzi na utapata jibu. But UCHAWI!!!!!! It is a phenomenon ambayo you cant prove. Be scientific and you will find an answer to your experiences.
Mass and energy are both but different manifestations of the same thing - a somewhat unfamiliar conception for the average mind.
Utakutana na ma-POPOBAWA waliokubuhu zaidi yako...
Uchawi haipo ila kilichopo ni manifestations za powers kufanya the imposibles ndizo zinaitwa uchawi. Hata hizo zinazoitwa nguvu za Mungu, nguvu za giza, shetani, ibilisi, malaika, mizimu, wanga, wachawi, waganga, mafundi etc, its all the manifestations za powers to make things happen beyond normal, that is paranormal ina ina scientific explanations ila kiafrika wanafanya siri as a results tunaishia kulogana wakati wenzetu wana documents na kuishia kuvumbua!. Hivi mnaamini mpaka leo hata kutengeneza just a toothpick hatuwezi?!.Uchawi upo!
Uliza kijijini kabisa home of domicile kwa Nape Nnauye..
Panaitwa Nyangamara (Division)... Kuna uchawi.. We hata uwe msomi namna amini uchawi upo! Ila faida yake haijawahi kujulikana.. Maana ni kazi ya kusumbua watu wasio na kinga na uchawi,ziwe za kienyeji ama za kiimani..
Kuna mabati kupiga kelele,kujikuta umelala juu ya mti,umelala nje,kuota unafanya mapenzi na mtu ambaye unamfahamu hata kama humpendi na hamna mazoea.. Na mengine mengi..
Kutumiwa nyoka ukiwa umelala usiku,saa nyingine unaamka na kujikuta yumo kwenye shuka moja na lako.. Walimu na watumishi wengine hawamalizi mwezi,wanahama...
Hakimu alipata kufariki few days after kumfunga mtu kisheria kabisa.. Mwingine alihukumu few days after akaugua wakamshughulikia masuala ya kienyeji alipopona alihama.. Sasa hivi mahakama jengo linataka kudondoka,popo kibao.. Shule hazina walimu,kuna zahanati haina watumishi..
Pamezalisha wasomi kadhaa ila hawajengi kwao wakishatoka kuogopa kulogana,kuna wengine wamepata kuwa hadi wakuu wa mikoa,ila wanarudi wakati wa misiba. Kwa kuwa hawana nyumba,hawalali.. Wanaenda kulala hata Lindi takribani kilomita 300..!
Uchawi upo,ila faida haijulikani..
Thubuuutuuuuu, km hayajakufika nyamaza kimya mkuuHa ha ha
Ilikuwa celebral malaria hiyo, miye nimeishi hadi Pemba, ukiogopa ushirikina umekwisha.
Sheria yake usiogope kitu na ujiamini.
UCHAWI? Hamna kitu kama hicho. Kila tukio lina scientific explanation. Ni kufikiria na utapata jibu. Fanya uchunguzi na utapata jibu. But UCHAWI!!!!!! It is a phenomenon ambayo you cant prove. Be scientific and you will find an answer to your experiences.
Mass and energy are both but different manifestations of the same thing - a somewhat unfamiliar conception for the average mind.
Ipo wilaya gani hiyo?
Duh! Pole sana mkuu. Mbona hivyo vya kwako ni vidogo? nikikuhadithia vya kwangu unaweza ukajikuta unabaki mdomo wazi kwa mshangao
Kama unaamini Biblia amini uchawi upo
Lakini pia kuna nguvu inayozidi uchawi.
Soma
Kutoka 7:11-12
Kutoka 22:18
kumb:18:10-11
Daniel 5:7 na
Matendo 13:6-12
Ni hiyari yako kuamini au kutoamini ila kikubwa ni KUAMINI NGUVU INAYOSHINDA UCHAWI.