Unatumia muda na rasilimali zote ulizokua nazo kuinvest kwenye kujitafutia kipato, michango haikufanyi kua na roho nzuri/mtu mwema.Ulishawahi pitia kipindi kigumu hadi ukashindwa kutoa rambirambi za misiba mfano labda una group kama vile watu mliohitimu nao chuo labda itokee msiba mmoja wenu amefariki...
Huyo anataka kaonekana mwema kumbe boyaUnatumia muda na rasilimali zote ulizokua nazo kuinvest kwenye kujitafutia kipato,.......michango haikufanyi kua na roho nzuri/mtu mwema...
Cha kwanza ni kukubali kuwa wewe ndio Unapitia hali hiyoUlishawahi pitia kipindi kigumu hadi ukashindwa kutoa rambirambi za misiba mfano labda una group kama vile watu mliohitimu nao chuo labda itokee msiba mmoja wenu amefariki...unatolewa mkeka wa waliochanga wote wamechanga kasoro ww tu
Had unapigiwa simu kutafutwa unaogopa kupokea na mbaya zaid sio Kwamba unatoa ulichojaliwa Kuna kiwango maalumu..je ukipitia hali hii unafanya kitu gani?
Thanks 👍Pole sana Mungu akufanyie wepesi
Kwa sasa toa ulichonacho kaa kimya
BTW rambirambi haifufui marehemu