Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

Ngoja aje kutupa jibu mkuu
Niliibiwa nguo wakati nasoma chuo nilikua nakaa off-campus, kesho yake napita mitaa ya ubungo nikakutana na mtu kavaa jeans na shati kama langu, da ikabidi nimsogelee kwa ukaribu kuangalia vishikizo vya shati kwani kimoja kiling'oka nikashonea uzi wenye rangi tofauti, nikakuta ni lenyewe daah nikabaki nimesimama tu bila kujua pa kuanzia huku jamaa ndo huyo anakatiza Barabara.
 
Mi nilikutana na jamaa tumefananisha barakoa, niliboreka Sana🤔
 
Endapo tunafahamiana huwa namwambia "naona leo tunaenda kuimba kwaya". Kama simfahamu/hatufahamiani huwa napotezea.
 
Nilikutana na mtu kavaa bukta kama langu nikamvua akaondoka ma bukta tu
 
Mkuu naizimikia sana jeep wrangler ngoja nivute pumzi kdogo nitajilipua
 
Swali poa sana hili
 
People zinapenda upekee xana. binafsi nina experience ya kukutana na watu ambao body xhape and language kwa namna flan zinamatch. pia watu ambao wearing style zao zinamatch na mimi. wote hao tunapokutana wanaonyexhaga kama wamehamaki kiax flan kuona mfanano ikiambatana na xalamu iliyochangamka.
 
mimi naona kwa wanaume huwa sio ishu sana. balaa wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…