Ulishawahi kukutana na mtu mwenye ugonjwa wa Low Latent Inhibition: Fahamu ugonjwa wa Low latent inhibition

LLI, I see myself in it. Wakati nasoma chuo nilikuwa siendi class najisomea tuu mwenyewe nafaulu[emoji23][emoji23]nikawa naitwa Dada wa Msuli yatima.

These days I'm working somewhere naona watu wanajitenga nami wanahisi mimi TISS maana nothing passed unturned and I know alot things and I notice them ASAP.

But all in all, I like what I'm. Thanks for knowledge, elimu haina mwisho.

Last week akaja mtu anafunga router, nikawa nimetulia sana namuangalia kumbe wenzangu wananicheki.
Sasa kamaliza connection naona watu wanacheka, nauliza vipi wakasema tunakuona ulikuwa darasani unasoma[emoji23][emoji23]lipa na ada ya mafunzo sasa...nikacheka sana.
 
Hongera sana upande huo Wanawake mpo vizuri sema hua mnajipuuza.
Kabla hatijaendelea Naomba kujua Amazon woman ni nini na kwanini Amazon woman.???(Najua nachokuuliza nataka tu kujua kama unajua ninachokijua)
 
Hongera sana upande huo Wanawake mpo vizuri sema hua mnajipuuza.
Kabla hatijaendelea Naomba kujua Amazon woman ni nini na kwanini Amazon woman.???(Najua nachokuuliza nataka tu kujua kama unajua ninachokijua)
Amazon woman is a healthy strong woman and powerful. The name I got it from Greeks mythology, these were war warriors fight like men, the spirit and so and so..

I chose this because it portrays some of my characters. Leave aside the lesbianism they had and culture ya kukata maziwa (breasts) Tell me more about it!!
 
I'm writing something about them..
Amazonian
 
Think Think Think... think big and Wisely
 
Haya bana.
 
Kuna uwezekano huu ugonjwa nao ukawa na categories zake, kuna ambao unakua acute na unapona kutokana na kuongezeka kwa majukumu, wengine unakua chronic na hauponi. I used to be curious and creative back in days, siku hizi naacha maisha yasogee
CCM ndio wamekusababishia hayo yote .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mada inafanywa na watunyeti sana katik kuset mind zao kutokan na majukumu yao,

Kuna mafunzo ambayo yanawez kubadlsh akili yako ikawa hvyo ,

Hii LLI hutumiw na mapo**c lakn hawapo smart hasa hap

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ungefafanua vyema kiasi maana sijakupata vyema
 
Classical condition & unclassical condition ni pure psychology Kuna Skimmers na jaribio lake la panya alipomfungia kengele ndani ya Banda na switch panya wakafundishwa namna ya kibonyeza switch ya umeme na chakula kumwagika pale walipohisi njaa walikuwa wakijibonyezea switch yenye kengele mara kengele ikilia na chakula kilimwagika na wao kukimbilia kukila chakula but all in all 1st degree yangu ya psychology ilinifanya kuacha ukorofi mpaka ndg na jamaa walinishangaa maana nacheza na akili za watu siumizi kichwa kuwa mtata sijui majungu siwezi muda mwingi nawaza kuwa creative na innovative hongera kwao scholars wa hii fani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…