Sawa mkuu. Nilivyokuaga kijana msela 2005 nilisoma somo la mfanowe uliotaja ujumbe wake juu.Sio kweli, sijawahi hata kufika geti lolote la chuo hapa tz.. hata sijui masomo mnayosoma huko
Humo tulifundishwa namna ya kuyamudu mawasiliano kuanzia 5 w na namna ya kuongea kwa ushawishi mkubwa , motivational speakers