Ulishawahi kukutana na mtu mwenye ugonjwa wa Low Latent Inhibition: Fahamu ugonjwa wa Low latent inhibition

Ulishawahi kukutana na mtu mwenye ugonjwa wa Low Latent Inhibition: Fahamu ugonjwa wa Low latent inhibition

Sio kweli, sijawahi hata kufika geti lolote la chuo hapa tz.. hata sijui masomo mnayosoma huko
Sawa mkuu. Nilivyokuaga kijana msela 2005 nilisoma somo la mfanowe uliotaja ujumbe wake juu.
Humo tulifundishwa namna ya kuyamudu mawasiliano kuanzia 5 w na namna ya kuongea kwa ushawishi mkubwa , motivational speakers
 
Vipi sasa umeshajiajiri kwenye upande huo motivation speech??
 
Huu Ugonjwa niliujua vema kwenye Prison Break Season One enzi hizo. Ndio aliokuwa anaumwa Michael Scofield. Huu Ugonjwa ukimkuta Kishoia anakuwa Kichaa na ukimpata mtu mwenye high IQ anakuwa creative zaidi na zaidi.
 
Mara ya kwanza nilifanyia reseach hii kitu ni 2007 niliikutana na LLI kwenye PB pale Sara alipoenda kumuuliza doctor/ mwalimu wa Michael kuhusu Michael ndio akawa anamweleza kuhusu Michael na LLI...

Nondo safi kabisaa
Yeah.. Sasa mwenye huu ugonjwa sijui ni paul scheuling au wentworth miller
 
Huu Ugonjwa niliujua vema kwenye Prison Break Season One enzi hizo. Ndio aliokuwa anaumwa Michael Scofield. Huu Ugonjwa ukimkuta Kishoia anakuwa Kichaa na ukimpata mtu mwenye high IQ anakuwa creative zaidi na zaidi.
Kwanini ni rahisi mstari unaotenganisha ujinga na werevu ni mfupi sana..
 
Hiyo NB[emoji38][emoji38]
 
Mate kumradhi hivi kuna uhusiano gani kati ya mtu kuutumikisha sana ubongo na kupata mental disorder?
Inasemekana kufikiria sana/imagination and thinking kunaweza kumfanya mtu nati zikalegea kichwani
 
Aisee mkuu kwa maelezo haya ninahisi nina huo ugonjwa ila sijafikia kiwango cha hao akina Michael Scolfield wala hao wanasayansi ila nikiona kitu huwa na jawa na maswali sana kutaka kujua kwanini kiko hivyo. Sometimes huwa naweza kubomoa kujua ndani kuna nini au kimetengenezwaje tengenezwaje.
By the way thanks for sharing this with us
Uko sawa na mimi mkuu,nimeharibu vitu vingi sana kwa kutaka kujua nini kilichomo ndani,ingawa kwa kufanya hivyo kumenifanya kujua vitu vingi sana....
 
Uko sawa na mimi mkuu,nimeharibu vitu vingi sana kwa kutaka kujua nini kilichomo ndani,ingawa kwa kufanya hivyo kumenifanya kujua vitu vingi sana....
Ungesoma masuala yahusiyo ufundi ungefika mbali mkuu. Coz ipo ndani yako
 
Back
Top Bottom