Ulishawahi kukutana na mtu mwenye ugonjwa wa Low Latent Inhibition: Fahamu ugonjwa wa Low latent inhibition

Vizuri kwa kutujuza kitu kipya mate, mimi niliacha michezo ya kupigana baada ya kuanza kusoma Topic ya coordination
 
I have nothing to say rather than to gain something.🤔
Woow, you have done a fantastic work.👏👏👏
Never give up, chase you are passion mate until it starts to chase you.

Hakuna matata 🙏
 
I have nothing to say rather than to gain something.🤔
Woow, you have done a fantastic work.👏👏👏
Never give up, chase you are passion mate until it starts to chase you.

Hakuna matata 🙏
That regular and royal reader who read all of your post😅.
Aahsante kwa kunisoma na kunitakia mema siku zote mkuu...One day maybe they'll chase me
 
The power of hobbies will help us to get out from comfort zone.
Always comfort zone is number one enemy of our personal development.

Keep that passion alive Sir.
God be with you. 🙏
 
Duuu,kweli ww ni elmaestro da Vinci,sina kitu zaidi ya kuchukua notes hapa.
 

I think we have the same characters,not once not twice watu wamehisi mimi ni TISS lastly hadi mpenzi wangu siku aliniambia anahisi nimetumwa kumchunguza…swali langu la WHY ndio linanifanya nionekane mdadisi napenda kujua jambo hadi mwisho wake
 
Hawa jamaa wa upinde wamekaba mpka huko.....na rangi zao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…