Hata kama ni chai kama haijatiwa viungo sana iacheni tu wenye kuweza kuinywa wafanye hivyo. Msiwakatishe tamaa sana wachemshaji. Lengo letu ni kuburudika tu [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mkuu umenicopy mwanzo hadi mwisho
 
Mkuu umenicopy mwanzo hadi mwisho
Kati yenu wawili ni nani katunywesha chai? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naona moderator walifuta ule uzi wangu wa kula tunda kwa makubaliano ya barter trade.....mrejesho jamaa alifanikiwa kula mzigo ila mshikaji akumpatia mzigo real but ulikuwa fake mdada kushutuka baadae wacha amlaani sana mshikaji wang.
 
Siku hzi wadada wa sheli kama wadangaji flan hv
 
Chai
 
Ni miongoni mwa visa vizuri kuwahi kusimuliwa bahati mbaya mama mkwe aliweka kizingiti.
 
Umehitimisha vyema sana baharia wangu
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sawa cha upole, sema upole umekuzidi maarifa ukashindwa hata kuoa
 
Kimasihara huku hakunaga story za shigongo itaendelea , halfu mkuu yani ulienda stend tu ukakae uangalie mabasi yanayoingia na yanayotoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mm nilichoshangaa inawezekanaje nauli ipelee 15k ina maana huyo bint mara ya mwisho kusafiri ilikuwa ni 2001 huko mpaka ajui nauli au vp.?

Itoshe kusema h n chai ya baridi
Kwa Mujibu Wake Kujua Alikuwa Anajua Ila Alikuja Kuwaomba Wamsaidie Coz hakuwa na Namna ya Kupata Iyo ya Kujazia Hapo Chai Ipo Wap Mzee Au We Ujawah Kupungukiwa Hela Ukaanza kupiga Saund Usaidiwe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…