Kwa Mujibu Wake Kujua Alikuwa Anajua Ila Alikuja Kuwaomba Wamsaidie Coz hakuwa na Namna ya Kupata Iyo ya Kujazia Hapo Chai Ipo Wap Mzee Au We Ujawah Kupungukiwa Hela Ukaanza kupiga Saund Usaidiwe!?
Em kuwa serious mzee, yani unatoka kwenu na labda unapanda daladala kabisa ety ili uende stand kuomba upunguziwe nauli 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ at least angesema naul imepelea 5k kushuka chini afu ni safar ya mbali bc nngeelewa
 
Vijana muwe makini na masihara yenu😀😀
Jana kuna baharia kachambwa na bi dada flani aisee kisa kamsimamisha achukue namba amemuelewa alikua na churaa kubwaa kilichojiri sasa🤣🤣🤣 anyway jamaa adi nguvu ya kuendesha baiskeli ilikosa bwana angekua na mchuma huenda ingekua differente tafuteni pesa then shoot your shot🤞
 
Hahahaha..hii ni ngumu sana aiseee, labda kama lingekuwa fuso..ila basi sio rahisi...na kama kweli, tayari wangempunguzia na wangemkula ha hao maana alikuwa na chura..udhaifu wa vidume wengi.
 
Duuh Kumbe mnabaguliwa tangia chuoni
 
Kodi unalipa kweli mzee au ndo kusema unalimwaga tu uno?
 
mzee endelea achana na hawa watoto wa form two c wanao ponda kila kitu.....
 
Kodi unalipa bado au umeshaacha
 
hilo litakua lilikua li changudoa
 
HUYU DEMU NAMFAHAMU anaitwa suzana....na aliajiriwa mwaka jana hapo hotelini
 
Unajipa moyo
 
Room ulilomuonesha na lile aliloingia mwanzo ni tofaut? Au kanda imemeza redio
Mara Ya Kwnza Nilivyoenda Kumuonesha Bafu Nilibaki Njee Yy akavulia Nguo Sebuleni So Raund ya Pili Mi alinikuta Ndan baada ya Kutoka kuoga Ivyo Nikamuonesha Room Ili Akajifute Maji na Kuvaa
 
Mara Ya Kwnza Nilivyoenda Kumuonesha Bafu Nilibaki Njee Yy akavulia Nguo Sebuleni So Raund ya Pili Mi alinikuta Ndan baada ya Kutoka kuoga Ivyo Nikamuonesha Room Ili Akajifute Maji na Kuvaa
Kwamba sebule yenu mnashare wapangaji wengi sio?
 
Hahahaaaaa kila nafsi itaonja mauti sure mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…