Hukumla kimasihara bali uliliwa kimasihara.
 
We mtoto ujue humu hadi baba zako tumo!huoni aibu kudanganya mchana kweupe?
 
Ilikuwa jioni mishale ya saa 10 hivi jioni, huku nishamaliza mishe zangu Jijini Dar es Salaam nikaona sio vema sana kulala hapo ngoja nigeuze niende Dom.

Muda huo nipo stendi ya Ubungo napiga marktime Bus yoyote ile nichomoke nayo, nikapata bus ya mwisho bovubovu hivi KVC, nikakata ticket nikazama ndani.

Saa 11 nanusu bus ikaondoka, ile kufika Kimara ile bus ikapata breakdown ikaingia sheli ikaanza kutengenezwa.

Stori inaanzia hapo sasa.... Itaendelea
 
Inaendelea....

Abiria tukashuka nje ya bus kusubiri mafundi waitengeneze, bus imegongwagongwa huko chini, Abiria tukaanza kuwa wakali turudishiwe nauli zetu, sasa kwenye yale makelele ilikuja pisi moja kali sana imevalia jinzi ya Blue, kenda kwa hewa chuchu dodo...

Malalamiko yake na the way alivyo kidume nikawekwa attention kidogo kumsikiliza.... Akidai hawezi kulala pale kasafiri tokea asubuhi kutoka mikoa ya kusini na anaelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa...

BBaada ya mzozo kiasi na Konda mara askari akaja, mi nikaona isiwe taabu nikamwita yule dada pembeni nikaanza kuchonga nae, maisha haya.... Hahaaa 😁😁

Kumbe yule dada huko alikotoka wakifanya biashara ya mikopo kinyume na sheria za nchi, so mme wake kadakwa na manjagu na yeye amefanikiwa kukimbia.... Na pale hana hata ela ya kulala Dar... Yaani by any means lazima asafiri aende kwao, kabakiwa na nauli tu....

IItaendelea...
 
Unazingua jomba.
 
Ntakuja kuhadithia nilivyomla kuruta mwenzangu shambani KO MSANGA KABUKU 835kj mgambo jkt
 

huyu mwanamke namjua na hata picha yake ninayo kwene simu yake, kana dimpoz tamu sana mkuu
 
Hivi kwenye uzi huu wa MATUSI kumtukana mtu inaruhusiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…