Hahaha unawakagua waongo, upo vizuri sanaa mkuu, uwezi kwenda na less ya 15k ukamind.. agiza maandazi chai ni nyingi sana humu,
Ndio hivo tukiongea tunaitwa wanawake tunaovaa suruali na kuninginiza korodani[emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi sikatai kwamba humu chai zimezidi na zinaburudisha, lakini angalau basi iendane na uhalisia.
 
Alishindwa kufikiria. Huko aliko hata muendelezo anaogopa kuja kuweka [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sasa mnaiharibu Mada nzima tuliyoiomba irudushwe hebu nendeni Post # 1 ya rikiboy hii Mada ilishafutwa na imerudishwa kwa hisani tu
sasa nyinyi nani kawapa kibali cha kukosoa post za wenzenu kwanini msilete za kwenu, mnajua Majukwaa mengi hatuyaoni na baadhi ya Mada kufutwa kwa ajili ya mambo km haya ya member kujipachika uMods kujiongezeka kazi zisizokuwa zenu CHAI chai TATEPA tatepa, ACHENI member wamwagike
===========
TAKE NOTE:
===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni

Hiyo wala sio kula tunda kimasihara, huko ni kusimamisha minazi ni kawaida sn makuruta kugongana maporini mkienda kudoji
Hahaha unawakagua waongo, upo vizuri sanaa mkuu, uwezi kwenda na less ya 15k ukamind.. agiza maandazi chai ni nyingi sana humu,
Tusaidiane kushangaa. Then akawa anafonza kama ameonewa
Alishindwa kufikiria. Huko aliko hata muendelezo anaogopa kuja kuweka [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Umemaliza?
 
Umemaliza?
Leta Mada yako yaani unasubiria km wewe ndio mleta Mada au ni moderator?
Majukwaa mmeyaharibu mpaka yamefutwa kumbe kuna watu wanashinda kuutuharibia Chai , twitter imezuiliwa sasa mnataka na humu tena
kasome post #1
 
Mkuu mbona kama unastress? Au ni ww ndio umekuja na ID nyingine kwa aibu?
 
Whether it is lie or truth,it is none of your busness do what you're supposed to do and not otherwise
 
Hii huwa inatokana na mioyo ya wanawake kuwa wameshawaelewa wanaume sasa sisi wanaume huwa tunamalizia tu kazi ndio inakuwa kimasihara sasa wewe tu kuna siku utamwelewa mtu sana sasa atafanya moment flani zitazokufanya usogee kwenye mstari ndio inatokea hiyo kimasihara.
 
We Jamaa Iv Kuna Mahali nimeandika Tukio limetokea Dar!!? Mbona Unashoboka Mwanaume Utafikir Zuchu Asee! Ukiona Chai Tafuta Vitafunwa kunywa ulale Uko Ujalazimishwa Kusoma.
 
We Jamaa Iv Kuna Mahali nimeandika Tukio limetokea Dar!!? Mbona Unashoboka Mwanaume Utafikir Zuchu Asee! Ukiona Chai Tafuta Vitafunwa kunywa ulale Uko Ujalazimishwa Kusoma.
Kumfananishe mwanaume mwenzio na mwanamke sio busara. Tunaweza kutofautiana mtazamo/mawazo/fikra lakini haimaanishi kwamba mmoja wetu ni mpuuzi au mjinga. Haukuwa na haja ya kutukana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…