Mzee dah hiz mbinu za kijasusi kalisana
 

Duuuh!!!
 
...........
 
Haiwekan mgen ahanze tu kukunyanyua kukupelea chumbani bila kufikilia usalam wa kukutwa ukizingatia huyo ulosema bro wko anaweza Rudi mpema,

Ulosema bro wako asingemuach mgeni wakat alikuwa na uwez wa kuondoka naye ukizingatia alikuwa na gari, (hi ni chai dhahiri kabisa)


Huu Uzi mwanzo ulikuwa na Visa vingi ambavyo uwezi dought kabsa mtu Kam kigakoyo,Nzi Chuma JBourne59 walikuwa na Visa logic kabsa
Hadi kuzarisha story Kam""" how I met my wife"" au uhusiano wangu na hamida"",

Lakini saizi wat wanaleta chai unayoiona kabsa ,imekuwa Kam wanataka tu sifa flani, Kama huna kiza cha kweli kbasi jaribu kutunga vizuri,

Mnaharibu tu uzi
 
Wewe umeleta kisa gani humu hadi uanze kukosoa nyuzi wenzio?
 
Wewe ndo hauwezi mkuu lkn mbele ya genye hata mambo hayo hauwazi
 
IMEANDIKWA" SIKU ZA MWISHO SHETAN ATAJIINUA NA KUJIPAMBANUA WAZI WAZI ....KUYAFANYA WAFANYA UOVU KUJISIFIA WAZIWAZI .... JINSI WALIVOTENDA ZAMBI .....EEH NDUGU ZANGU TUNAENDA WAPIIIIIII
Ko umekuja jukwaa hili,umesoma thread ko unataka nini kutuhubiri ama?
 
kulikuwa na umhimu gani kaka angu kwenda kumpokea mkewe aende na rafiki yake? pia kulikuwa na umhimu gani kwenda na mgeni ikiwa anaenda anarudi ?

Wazo la kukutwa halikuwepo coz kutoka bunju kwenda ubungo ni mbali so muda ulikuwepo wa kutosha

Pia amini unacho kijua...story yangu mimi haimforce mtu kuamini nilicho kiandika

Nahisi uzi ulitutaka tushare namn ya kula tunda kimasihara maan yake kula bila ( makusudio )

[emoji3][emoji135]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…