Ulibebwa na kupelekwa chumbani??[emoji848]

Mgeni gafla mwenyeji
 
Ulibebwa na kupelekwa chumbani??[emoji848]

Mgeni gafla mwenyeji
Kbla ya kukujibu nimesoma tena jina lako Kichwa Kichafu [emoji3][emoji3][emoji3]

Anyway soma vzuri uzi uuelewe

Maan kuna sehem nimeandika ili kufika bafuni lazima nipite sebren

Sasa kwan mgen yeye nikipofu haoni hyu katoea wapi [emoji3][emoji3][emoji23]

Alafu mbona mimi uwa nawahi kuelewa sana kwan wenzangu nyie wa nch gan mpk kitu mtu akirudie rudie...
 
Tatizo la kutumia akili nyingi kufikiria kitu cha kawaida, mwishowe unajikuta unahitimisha na ujinga. Si Kwasababu imeitwa Home of great thinker, ndiyo uoneshe uchambuzi wako. Acheni kuishi kwa kukariri
 
Aisee!

Kichwa cha chini kikumbuke huyu alitokea chumba fulani.

Kajaribu ku-edit hapo tu. Weka hata uliwekwa moto pale pale ila si kuwanywesha chai kavu hivi mkuu.
 
Aisee!

Kichwa cha chini kikumbuke huyu alitokea chumba fulani.

Kajaribu ku-edit hapo tu. Weka hata uliwekwa moto pale pale ila si kuwanywesha chai kavu hivi mkuu.
Dah" uewelewa wako ni mdgo sana mkuu..

acha atake taka kuniamin ataniamini, na atakaye taka kukuamini atakuamin maan naona watoa ID tumekuwa wawili

Kama ni limeisha ila kama una mengine unaweza sema usaidike[emoji64]
 

Sio sebren ni sebuleni,
Pili Hii ni Chai
Tatu wewe ni dume
Nne Kaka yako hawezifanya huo ujinga Ova
 
Akuache queen wetu. Sisi tumeelewa na tunasubiri episode inayofuata.
 
Mwaya we ngojea [emoji7]

Episod ijayo ni kali sana kama mvua iliyo na upepo mkali kama nyumba yako haina paa lililo imara inaweza kwenda na upepo[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanipa ki muhe muhe cha kuona hiyo next episode. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…