[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanipa ki muhe muhe cha kuona hiyo next episode. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baby ujue niko kwa road natembea uku nacheka mpk watu wananishitukia eti
 
Kuna demu nilimla tunda kimasihara akaniachia U.T.I...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe umeleta kisa gani humu hadi uanze kukosoa nyuzi wenzio?
Nina Visa kadhaa nmeshea huko mwanzon kabla Uzi haujavamiwa na waleta chai ,
Mwanz ulikuwa ukisoma mtu akishusha nondo unaona hi ni reality kabsa,
 
Kumb umeon mkuu wachache wanatuharibia uzi kwa kutak sif a kijinga, yaani chai inaonekan kabisa.
Kwan huu uzi wenu unaongelea ufufuo ??[emoji15][emoji15]

Kwan hu uzi ni wako? au na wewe upo kama mtoa id tu?

Kwan mmelazimishwa kuwepo kwa huu uzi?

Kama huu uzi ni wetu kwama usemavyo basi kila mmoja ana uhuru..

Kama ni wako badilisha andika uzi wa ufufuo basi kama vip, mmekuwa tu wana haribu wanaharibu

We iko wapo id yako uliyo andika ambayo mtu akisoma anaokoka?

Alaf kwanza nawashangaa unazani huu unakuzwa nini kama sio mambo haya?

Unazani watu wasenge comment walivo liwa na kula huu uzi ungefika hapa leo

Acheni shobo mfyuuuuuuu

kana uzi ni wenu basi sisi wengine mtupige pin msijichoshe...ila kama sio wenu kaaeni kwa kutulia [emoji41]
 
Mi sijali kama stories ni za uongo ama kweli fresh tu [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora yako wewe bhna eti mtu na hakiri zake kabl ya kuforcus na vitu vya muhimu kakalia chai chai akunywe sasa [emoji854]

hawa ndo wale watu kwenye midahalo walikuwa nawakaa mbele alfu kazi yako ubishi tu hamna lolote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gud baby,nshawambia ukiona ni chai pita kimya kimya hujaitwa acha sisi tuendelee kuenjoy story,afu unakuta mpuuzi mmoja hajawah post kisa chake ila anatuletea story za kijinga
 
Gud baby,nshawambia ukiona ni chai pita kimya kimya hujaitwa acha sisi tuendelee kuenjoy story,afu unakuta mpuuzi mmoja hajawah post kisa chake ila anatuletea story za kijinga
[emoji23][emoji23]Kuna watu hakiri zao sijui uwa wanaziweka wapi tu...na hapo unakuta ni mtu mzima kbsaa na nywele zake kila kona ila kakomalia jambo ambalo ata halina faida

Sasa ikiwa chai au uji yeye anafaidika nini yaaan sijui hata hawajiulizi ilo swali!![emoji848][emoji848]

Hii ni story kama story zingine tupo kufurahishana...

waache wapambane na soon naleta chai ya maziwa sio ya rangi tena, waaanze kubisha kuwa sio chai ni maji ya mchele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binadamu bwana khaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baby ujue niko kwa road natembea uku nacheka mpk watu wananishitukia eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol poleeeeh dea, mie nawait kuona next episode jomoneeeh
 
Hakika umenena dea, watuache na uzi wetuuh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ilete haswaaah afu iwe ya moto waungue ulimi.
 
Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…