Wanajua labda wote tunafanana maisha
 
Dah" uewelewa wako ni mdgo sana mkuu..

acha atake taka kuniamin ataniamini, na atakaye taka kukuamini atakuamin maan naona watoa ID tumekuwa wawili

Kama ni limeisha ila kama una mengine unaweza sema usaidike[emoji64]


Mkuu sina jingine uwe na weekend njema.
 
Mkuu wew ni kutoka kanda ya ziwa kwa Mwl. Nyerere?
 
One of the best

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga, kuna watu wanakula mke wa mtu bafuni na mume yupo sebuleni.

Usichoweza wewe wenzako wanafanya. Mashaka yako baki nayo kichwani kwako.

Usikariri sana, dunia ina mengi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nadhani tujifunze kutofautisha majukwaa, jukwaa la mapenzi mtu anataka akute ujasiriamali na siasa. Ukienda siasani mtu analeta dini, ilmradi tu akosoe.

Mungu hakuwa mjinga kuumba ulimwengu na vilivyomo ikiwemo ngono. Kuna watu hujiona wao ni wema sana mbele za watu lakini wayafanyayo sirini ni makubwa na maovu kuliko kula kimasihara. Udumu uzi wa kula kimasikhara maana hata mods huwa wanasoma kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…