Imenibidi tu mkuu [emoji6]Umekuja kunihadisia huku kumbe
wee muongo pale kwa foleni unapigaje madole? lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee muongo pale kwa foleni unapigaje madole? lol
Kabisaaaah yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chai ya maziwa hyooo ina radha zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ouk sawaah, lol wee ni baharia ukawa unpiga mdada wa watu [emoji867] lol.We
Ulipita jkt ww? Kama ndio, kabla ya mabio ya usiku kabla ya rokoo si mnakalishwa chini? Tena muda mref tu!!!
chai pimbi weweNipo zangu geto wiki endi nimejilaza baada ya kumaliza kufua mara nasikia sauti ya baba mwenye nyumba inaniita, "Iga nakuomba hapa nje mara moja", nikakurupuka kitandani nikachukua T-shirt yangu niliitundika kwenye kamsumari mlangoni nikawanaivaa huku nafungua mlango ili nitoke nje kumsikiliza baba mwenye nyumba mzee Galagaza. Hapo nje nikakuta mzee Gala kasimama na wageni wawili kwa muonekano wanaonekana ni mafogo flani hivi wa mjini. Mzee Gala akanitambulisha kwa hao wageni ambao ni Injinia J4 na mkewe Mwana, mimi pia nikajitambulisha kwa wageni, kilichofuata ni kwenda sebleni kwa Mzee Gala ili kujua kusudio la kuja la hao wageni.
Kiuhalisia kumsifia mke wa mtu ni dhambi lakini wacha niibebe tu, Mwana ni mtoto mkali ana inye zimejichomoza kama zinataka kudondoka, anamwanya maridadi huku akiachia tabasamu mwanaume kamili lazima uvutike na kusahau kama ni mke wa mtu. Injinia kwa kweli mke mrembo amepata, nafikiri anatamani awe anamfungia tu ndani ili amwone mwenyewe lakini ndo ivo Mwana ni binadamu sio mdori. Mzee Gala akaniambia, "Iga hawa wageni wamekuja wanahitaji kununua kiwanja changu cha hapa pembeni", Mzee Gala akaendelea "tumekubaliana bei tayari na kwa vile mimi mwenyewe ndo Mwnyekiti wa Serikali ya mtaa sihitaji dalali zaidi ya shahidi tu ili tukamilishe, kwa hiyo Iga naomba wewe uwe shahidi yangu", nikamjibu " sawa haina shida mzee".
Basi bana, Injinia akaanza kazi ya ujenzi kwenye kiwanja chake kipya, mara nyingi ununuzi wa vifaa ukawa chini yangu maana alitokea kuniamini sana maana aliona simpigi kwenye bei za vifaa kwa hiyo mara nyingi akawa ananitoa hela za usimamizi. Baada ya miezi mitano nyumba ikakamilika na wakaamia yeye na mkewe. Mara nyingi Injinia akirudi toka kazini hunipigia simu niende kwake, nikifika hapo mkewe anatutayarishia vinywaji mezani huku tukiendelea kutazama muvi na kupiga stori za hapa na pale. Basi miezi mitatu baadae Injinia akanitaarifu anasafiri anaenda Ethiopia kuna kazi anaenda kuisimamia ya miezi mitatu akaniambia niwe napita pita kwake ili kumtoa hofu mkewe maana bado mgeni hapo.
Siku moja mke wa Injinia akanitumia meseji ilikuwa mida ya sa 1 hivi usiku ananiomba niende kwake, nikatoka geto nikafunga mlango nikaenda kumsikiliza. nikakuta geti limeegeshwa nikaingia uku naita "shem upo" , nikasikia sauti toka ndani, "ingia tu shem nipo ndani" Nikafunga geti kwa komeo. Nikaingia mpaka sebleni, shem akatoka chumbani uku kapiga kanga moko tu, wakati anakuja kwenye viti nikawa naona jinsi viungo vya mwili wake vinavyotetema, akaenda kukaa kiti cha mbele yangu, kabla hajakaa inye ikatetema kama limetikiswa, nikajikuta nasema "dah...", shem akauliza, " kwema Iga" huku anatabasamu, nikamjibu "salama tu". Shem akanieleza kwamba chumba anacholala taa imeungua anaomba nikamsaidie kubadili, nikamjibu "sawa", nikaingia stoo nikachukua taa ya ziada tukaenda chumbani kwake, shem akasema " nipe mie hiyo taa nichomeke, wewe nishikie stuli nisianguke", kulikuwa na giza sikumbishia, akaitoa taa ilioungua akaidondoshea kitandani, akaiweka taa mpya ikaanza kuwaka kumbe hatukuzima swichi ukutani, mda taa inawaka nimeshika stuli natazama juu nilichokua nakiona balaa shemu hakuvaa kufuli , mali zote nje nje, akili za kula mke wa injinia zikanikaa kichwani. Akashuka toka kwenye stuli, nami nikasimama kabla sijaongea chochote akanikumbatia akasema " asantee kwa msaada wako", hapo mie mihemko ipo juu joto limepanda kama kawa, shem akastukia utofauti akasema " Iga mwili wako unajoto zuri natamani niendelee kukukumbatia tu", nikamjibu " ila joto tu la hapa Moro", mara ila kanga ikamdondoka , shem hakustuka ndo kwanza akaanza kunipa mate pale pale tuliposimama, nikavua flana yangu na suruali ikiwa na boxa, hatukuchelewesha, kilichofuata ni shoo moja kali na mke wa injinia pale chumbani kwake, nikamwambia inama shemu nione uumbaji huo uku nimekamata inye na jiti limevimba hatari, Shem mwana sio mkavu mda wote kaloa tu hamu ilikuwa haiishi na ukizingatia hajakutana na mmewe zaidi ya mwezi, siku hiyo nililala kwa injinia sa 11 alfajiri nikarudi zangu geto kumbonji huku nikisikitika kwa dhambi niliyotenda.
Piga Sana madole Atuf...wa watu kutoka njombe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ouk sawaah, lol wee ni baharia ukawa unpiga mdada wa watu [emoji867] lol.
AlaaahHuu uzi upelekwe makumbusho kwaajili ya vizazi vijavyo
Mara mchana mara usiku INTERNATIONAL TEAWe
Ulipita jkt ww? Kama ndio, kabla ya mabio ya usiku kabla ya rokoo si mnakalishwa chini? Tena muda mref tu!!!
Mzee pengine hata jina hukutaka kulijuaNakumbuka miaka hiyo nipo nafanya harakati za kuripoti chuo baada ya kuhitimu kidato cha sita.Siku hiyo nilikuwa safarini kutokea moja ya wilaya za mkoa wa Morogoro kuelekea yaliko makao makuu ya mkoa .Kama mjuavyo jiografia ya mkoa huo kunauwezekani wa kusafiri kwa masaa zaidi ya 8 ndani ya mkoa.Basi bana picha linaanza nipo zangu ndani ya basi siti za karibu na nyuma kando yangu siti ya upande wa pili baada ya kikorido cha kati kakaa mtoto flani hivi wa kiwakhati [emoji3192] kapigilia mjuba wake maridadi kweli kweli .Mwanzoni mwa safari hatukua na mazungumzo yoyote zaidi ya kuinjoy harufu nzuuri ya marashi kutoka ktk mavaz yake.Kwa muda mrefu mrembo yule alikuwa bze kwa kuongea na simu [emoji338][emoji338] na washikaji ,pia kuchat kama kote.Duuuuuh kimsingi alinivuruga sana kwani kila nikitafuta gia ya kumpigisha story anajibu kwa ufupi then anaendelea na mingo zake [emoji338].Basi bhana tukafika mbuga ya mikumi so ukawa ni mwendo wa kuinjoy wanyama wa pale [emoji3070][emoji208][emoji233][emoji3069][emoji885]kupitia hapo ndipo alianza kuniuliza maswali kuhusiana na sifa na tabia za baadhi ya wanyama ,wakuu kiukweli mm cna udhoefu sanaa na wa wanyama pori so nikatumia mbinu za kivita kujibu maswal yale hapo usiniambie mbinu gani.Kukaibuka mjadala mziitoo kisha stori nyingine nyiiingi zikafuata .Basi bhana wakati tunakaribia stand kuu ya mabasi [emoji590][emoji590] yapale mji kasoro bahari nakumbuka yalikuwa majira ya saa moja kasoro ya usiku nika mtania vp tukalala wote lodge then kesho ukaenda huko kwa sister ako hakunijibu kitu.Pasi na shaka ndinga ikazikamata round about [emoji922]ya pale karibia na na msamvu mara ngoma ndan stand .Mzee baba nikashuka huku nikiwaza namna ya kukata tiket kwajil ya safar ya kuelekea jiji la miamba siku iliyo fuata.Basi bhana kwa time hiyo sikuwa na wazo lolote kuhusu yule ndada wa kwenye basi [emoji3192],nikaenda kwenye moja ya ofisi za kukatia tiketi ya kampuni ya mabasi niliyo penda kusafiria kwa safari za kwenda kanda ya ziwa,wakati nipo katika msululu wakuingia ndani ya ofis ile [emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]kutazama pemben namuona yule mrembo wa kwenye basi moyo ukalipuka paaaaaaa!!!!! Kwamshituko nikamuuliza vp hakujibu kitu zaidi ya kutabasam huku akiinama chini .Basi bhana nikakata tiket nikatoka nje ya ofisi nikamkuta kasimama palepale ,nika mwambia kwa ujasili sasa twenzetu tukapumnzike?mtoto akaunga msafara haoo mpaka lodge moja pale karibu na stand chap nikachukua chumba na dhana kama boksi mbili.Tuliingia chumban mtoto kaingia kuoga katoka na moko khanga huku ikiwa imeshikana na mwili kutokana na majimaji aiseeee asikuambie mtu .Nikajikaza na mm nikaenda kuoga kilichofuata Duuuuuh sikikumbukagi sana zaidi ya kesho yake kunusurika kuachwa na basi .Duuuuuh mrembo yule hata namba hatukupeana ila popote alipo akachukue Pepsi ya bariiid kwa mangi kisha nitamlipia.
Alinitajia kwenye bas ila nimelisahauMzee pengine hata jina hukutaka kulijua
Hii limao n tangawise limezidiKwa niaba ya Mikito Mikito
GARI YA KUAZIMA
Ilikua ni ijumaa tulivu katika soko kuu moja dsm, watu wakiendelea na shughuli zao za kujipatia msosi wa laka moja wa kujaza tumbo. Nilikua nimefuata matunda na mahitaji madogo madogo ya nyumbani, nilikusanya vitunguu,karoti,hoho,bamia,nyanyachungu katika fuko na kurudi nilipopaki gari ya mshkaji niliyomuazima asubuhi huku nikiwa nachezea simu yangu nikiwa busy na kujibu msg kwa madaha huku nikitabasamu, nilipoinua kichwa kuangalia mbele nilipopark gari nilipatwa na mshtuko wa ajabu baada ya kuona gari ikiwa imegongwa kwa nyuma na gari ingine na watu kadhaa wakiwa wanashangaa, lile fuko nililobeba ghafla liliongezeka uzito na mwili ukakosa nguvu na kujitaidi kusogea karibu na tukio na kuuliza nani amegonga gari yangu..!? ( utadhani gari yangu na dereva aliyegonga alikua bado yupo kwenye gari[emoji3][emoji3]) Dereva alikua mdada na hapo bado alikua ameshikwa na butwaa ameshikilia usukani huku kabana meno na miwani yake ya kisister duu ( nadhani mnawajua hawa wadada[emoji849][emoji849] wale maslay queen) nikasogea mpaka mlangoni kwa dereva ya yule dada na nikamuomba ashuke tuangalie uharibifu na tuzungumze kwanza tujue tunafanyaje. Akashuka huku akiwa na wasiwasi na kuniomba awasiliane na mtu kwenye simu, aliongea na simu na kuniomba niongee na huyo aliyekua akiongea nae, sauti ya kike ilisikika kwenye simu.
Simu; Samahani mwanangu naomba muondoe gari na mutafute gereji ya karibu warekebishe kabla ya traffic police hajafika kwa kua huyo slay queen hana leseni ya udereva na alimtuma sokoni mara 1
Mimi; Mi nikajibu sawa kwa unyonge na kumpa simu yake
Akapanda gari na kurudisha nyuma na bampa ya gari yangu ikadondoka chini ( Eti gari yangu[emoji16][emoji16]) nikaliokota huku nikiwa nashangaa taa za nyuma zilivoharibika na kulining'iniza kwa siti za nyuma na safari ya kuelekea gereji ikaanza. Tulifika gereji moja ambayo slay queen alikua akiniongoza kwa njia na kushuka na kuniambia Don't worry, Everything will be ok. Hapa nilikua nimekunja sura na hawa wadada wa kuvaa miwani navojua wana dharau hua damu zetu ni O na AB, alitoa simu na kupiga na kuanza kuongea na simu na kusogea pembeni. Hapo nilikua nimevimba kwanza hajaniomba hata samahani na wala hajali muda ambao atazidi kunipotezea afu bado anaongea na simu yake macho matatu (kumbe ni Iphone6 [emoji847][emoji16][emoji3][emoji3]) akarudi ni kuonyesha ishara niongee tena na simu, safari hii nilikataa na kuanza kumtolea maneno machafu na kutoa funguo na kumkabidhi huku nikifoka kuwa ukimaliza utajua pa kunitafuta na kuniletea gari yangu baada ya marekebisho ( nilitaka namimi nionekane kidume pale gereji kidogo[emoji23][emoji23] kumbe sina lolote nawaza gari la watu litakuaje) akaomba omba msamaha pale u know u know nyingi ooh it was accident.
Tulikaa pale kama lisaa likapita na akaja huyo mdada niliyekua naongea kwenye simu na kunisalimia na kuniomba msamaha na kusema anaomba full matengezo kwa kukubali kuondoa gari bila askari kufika na kuniomba tukakae sehemu tupati vinywaji kwa ajili ya kutuliza presha na akili kidogo, tulienda kwenye restaurant ya karibu pale na tukaagizaa juice tukiwa na slay queen yeye yupo busy na simu muda wte nilikua namkata jicho mshenzi had yule mwingine akagundua na kunishika mkono wangu kwa kunifariji hapo ndo chaji ya mwili ilistuka na mzee baba huku alituna hadi yule dada mwenyewe akaona na kuniuliza km nina nimeoa...ikafika mida ya kumsingizia shetani kumbe ni akili zangu zikiniambia leo lazima nimle tunda huyu dada[emoji16][emoji16] nikamuonyesha ishara ya huyo ndugu kua analeta gozigozi, alitabasamu na kuinuka na baada ya dakika moja yule slay queen nae akatoka, hapo ndo nakumbuka fuko langu la mazagazaga sikuliweka kwenye gari[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] alirudi yule dada na kusema nimsamehe sana binti ake kua ujana unamsumbua, nikabaki kushangaa kuuliza yule ni binti yake wa kuzaa au[emoji32][emoji32][emoji33] akanijibu ndio na mimi nikachomokea yule anashindwa kuheshimu baba zake, alitabasamu na kuniomba tutafute sehemu ingine private tupate kujuana vizuri huku tukivuta muda gari ilekebishwe ( nilivosikia private akili inawaza lodge tu
[emoji23][emoji23]) nikamwambia ipo sehemu mzuri maeneo yale na tukatafuta bajaji na kuelekea huko na tulivoshuka akashangaa tunaelekea lodge akasita na kuuliza mbona tunaenda lodge, nikaonyesha km hali kukata tamaa na kuweka kisura cha huruma, aliniangalia na kusimama lakini sio shida ila anatumaini watakua na sehu ya vinywaji.... Ntakuja kumalizia ngoja nikakague returms za watu[emoji784][emoji785]
Jamaa kaamua kutuletea dawa ya corona[emoji23][emoji23]Hii limao n tangawise limezidi
Jamaa kaamua kutuletea dawa ya corona[emoji23][emoji23]
Hii limao n tangawise limezidi
Acheni wadau watuburudishe. Lengo mojawapo ni kuburudika. Sasa nyie mmekalia tu chai; nyie chai zenu ziko wapi? Relax. Let's just enjoy and laugh !!!Mara mchana mara usiku INTERNATIONAL TEAView attachment 1693748
NotedAcheni wadau watuburudishe. Lengo mojawapo ni kuburudika. Sasa nyie mmekalia tu chai; nyie chai zenu ziko wapi? Relax. Let's just enjoy and laugh !!!