Hujatuokota kweli?
 
Bila shaka ni tawi la CRDB kwenye ule mkoa unaoanzia na herufi M.
 
2019, nipo stend ya masasi nasubiri gari ya mwisho selous inatoka songea,naelekea Mtwara. Nilikuwa kikazi.
Nimekaa kwenye ofisi ya selous napiga story na wakatisha tiketi, mara kaja mdada fulani kajifunika ushungi anataka tiket aelekea Mtwara.
Jamaa wakamkatia tiketi, mm nikakalili jina lake.
Ghafla gari inaingia kama saa 1 na robo usiku, yule dada alitangulia mlangoni awahi siti, wakati napanda nikamita jina, we ... jitahidi uwahi kupanda uwahi seat.
Nimeingia ndani ya gari mara nyingi napenda siti za nyuma, ghafla yule dada kahamia kwenye siti yangu ilikuwa 2×2, alafu asilimia kubwa gari haikuwa na abiria wengi.
Safari ikaanza,
Dada akaanza; una charge nibust simu yangu?
Kidume nikampa, kumbuka safari ya usiku hiyo.
Tukaanza story, kufupisha yule mdada alisomea nursing Masasi, hivyo alifata cheti ili aende COTC ya Mtwara aendelee na masomo. Ni mwenyeji wa mbagala ila ana asili ya umakondeni ila ni nje ya mji wa Mtwara.
Tupo njiani akaomba akae dirishani, nikampisha.
Picha likaanza, akauliza hivi Mtwara mjini naweza pata guest hata ya elf5, nikamwambia zipo .
Akaendelea maana nawapigia ndugu zangu hata hawapatikani, kidume nampa majibu ya matumaini.
Saa 4 usiku tunaingia Mtwara, nashuka na yeye huyo nyuma.
Nikamwambia tuchukue bajaj tutafutane guest akajibu poa, ajabu sasa siku hiyo kulikuwa na wageni wengi sana kila guest imejaa, na yeye pesa yake anataka ya elf10 au elf5,
Mpaka saa sita usiku tunakuja kupata guest elf25, nikapiga hesabu ina maana nimuongezee elf15 na yeye?
Nikamuuliza kama vipi tuchukue room moja, tutalala mzungo wa nne au kama vip mm nitaenda kukesha maana napiga vyombo kimtindo, akasema basi hamna namna inabidi iwe hivyo.
Tukazama ndani, nikaacha bag nikenda kumchukulia msosi, nimerudi nimemkuta kavaa night dress tu, nikasema leo mbona hatari.
Nimempa msosi, nikamuaga naenda kuvuta mda, akajibu poa.
Nimekaa sehemu inaitwa Shutaz saa 8 kasoro inaingia text, sasa mbona umeniacha peke yangu?
Nikamjibu narudi usijali ila kiukweli sikupiga vyombo kabisa.
Mida narudi guest, mdada ananifungulia mlango, kidume nikaoga, nikavaa pensi kitandani.
Dah, sijui ilikuaje nastua tumelala uku tumekumbatiana, aaah kulichofuata hapo ni shida.
Kufika asubuhi mm nikawahi job, yeye akaendelea na process ya kujaza form za maombi COTC, mchana akaniambia anaenda kijijini kwa ndugu zake.
Baada ya hapo akarudi Dar Mbagala yupo mpaka kesho ni nurse private dispensary, chuo hakuendelea, tunawasiliana mpaka kesho.
 
Duh mbwaaa wanafaidai
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aise hi kari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Sasa iga wewe ufupi wako ukoje hadi uone nvya ndani yeye akipanda juu

Igaaaaaaa!!!![emoji23][emoji23][emoji1316]
 
Wewe ndie shujaa mpaka sasa kwa Mwaka huu.
 
Sasa iga wewe ufupi wako ukoje hadi uone nvya ndani yeye akipanda juu

Igaaaaaaa!!!![emoji23][emoji23][emoji1316]
Alitumia stuli ndefu zile wanatumia mafundi cherehani, mie nilichutama kistaili flani hivi yani mguu mmoja kama upepiga goti wakati naishikilia hiyo stuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…