Wala machizi kumbe mpo wengi! Kwa hiyo ulimaindi kuona anakula matunda yako na wewe ukala tunda
 
Hiyo siku nilikuona ukllivyokuwa unamvutia kule shambani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah ulimpa utamu wa chumvi wee sio sukari tena.
 
Nyie ndo mnaowapa Machizi Mimba eeeh
 
Nimekupa manyota sana, hongera mkuu, sema ungeingia ndani mzee unaiachaje swala iliongia kwenye 18 zako, au ulirudi tena kwa awamu ingine
 
Habarini za weekend ndugu zangu,basi mm nina kisa kimoja kilinitokea jana jumapili nlitoka zangu home mida saa 9 iv kwa wakazi wa moshi mnaelewa jana mvua ilipiga kimtindo basi nikawa nmeenda mahal kucheki mechi ya simba pamoja na nishtue ubongo kidogo,,basi imefika saa moja iv nikamkumbuka ex wangu[emoji23],hapo kichwa cha chini kikaniambia nimtafute nikamchek pale nikamwambia nipo town but kesho j3 naondoka naomba japo nikuone akasema fresh anakuja,(hapo nimeshaenda le cassa kcmc alaf mshkaji alieniita akanipotezea[emoji23][emoji23][emoji23]),so nmekaa pale imefika saa 3 iv akanitext hawezi kuja nilipo mm niende east africa pub nitamkuta basi kichwa kikubwa kinaniambia rudi home ukapumzike kichwa kidogo kinasema nenda unaeza pata zali,,nikaenda pale chaap nikaingia counter nikaagiza beer 2 thn nikavunga mahali nikamchek akasema anakuja,,ile amekuja akaja na mshikaji mm sikuelewa kitu nikampa hii nikawaambia chukuen vinywaji akadai ana njaa hapo amekosa msosi so ngj aende nje akachek msosi nikasema poa,hapo nshakata tamaa baada ya kumuona na yule mshikaji,,baadae akanipigia cm akasema niende pale alipo mm nmeshaanza kulewa mix kujiamini nikaenda pale nikakuta wanagombana,kumbe yule n jamaa ake bhana,jamaa akaniuliza huyu nani wako nikawaza nmuharibie dem nikasema hapana,nikamwambia n mdogo wangu jamaa akasema kwa hasira basi poa ondoka na mdogo wako,,nikamuita mshikaji nikamwambia mwanaume hasusi njoo nikueleze akasema ameniheshim sana angeweza kunivuruga mda wowote,alaf mshikaji anaongea lafudhi ya kimasai[emoji23][emoji23][emoji23],hapo Kuna washkaji wa boda boda na wanaona kila kinachoendelea nikaona aibu hii lkn haezi nifanya kitu huyu mshamba kwanza mpaka ameamua kuja nae means hamuheshim ngj nijitutumue nikasema bac poa dogo twende nikupeleke nyumbani mara demu akaja[emoji23][emoji23]nikamuambia apande Pkpk yake na mie yangu hadi stand ya mabasi kwa mbele nikamsimamisha boda nikampa yule aliempakiza buku yake nikamwambia njoo upande huku,(kumbukeni wakati nmepanda boda nlikua nampanga boda atupeleke gest nzuri ndo akasema atatupeleka majengo),akaja haooo tukaelekea guest mitaa ya majengo ivi,,aisee wakuu weekend yangu iliisha vyema sana na hichi kimvua cha moshi hapa,saa izi niko kwenye BM COACH nalitafuta lililokua jiji la makonda.



Special thanx kwa mshikaji alieniita le cassa kcmc alaf akanipotezea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]japo nlimfaham yeye hakuninote lkn huenda ndo baraka yake kwangu kupata dodo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niwatakie majukumu mema wapambanaji wenzangu.
 
Sawa sawa mtafiti hapo hujakosea, swala kumbe sisi wanaume ndiyo tunajinyimaga nafasi za wazi pasipo kujua, unakuta mtoto wa kike ameshakuelewa unaanza kujipa majibu, pia unaweza ukaangukia pua ukihisi umekubalika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daaah
 
Fala sana wewe kwahiyo ndio umeamua kuja kuandika upuuzi wako humu, yule demu nimekuachia maana nimemuona ni malaya kama malaya wengine.
Ukija moshi nikikuona nakupasua
 
Hapo chini umemalizia kama Series ya 24 inavyoanza kwa sauti ya Jack Bauer... The following takes place between 7pm and 2pm Events occur in real time
 
Fala sana wewe kwahiyo ndio umeamua kuja kuandika upuuzi wako humu, yule demu nimekuachia maana nimemuona ni malaya kama malaya wengine.
Ukija moshi nikikuona nakupasua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ni story tuu hizi usipanick sana,,alaf huez nipasua kaka if unaweza ungenigusa jana nikuoneshe dawa ya washamba kama wewe,,,

Alaf kwa taarifa yako yule ni ex girlfriend wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…