Kesi ya mijinga unakimbia hao wanae wa kiume ungewaambia wakikaa kifala unawatafuna kama mama yao
 
Niuzie namba yake
 
Yaan vikana mna bishania DHAMBI ya zihnaah kweli ulimwengu jalala
 
Katoe mahali..
 
Hii itakuwa ni ya mwisho kuandika hapa:-

Miaka fulani huko nyuma wakati uchumi wangu wa kuungaunga nilipanga mitaa fulani wilaya ya Temeke.
Hapo mtaani kulikuwa na duka la mama wa makamo mnene kiasi, tako lipo, sura nayo si haba na anajitunza sana na ucheshi wa kiwango cha SGR.
Hili ndio duka nilikuwa nikipata mahitaji yangu ya vyakula ninapokuwa nyumbani na huduma za MPesa na Tigopesa.
Kuna Jumamosi moja nikaenda hapo dukani mchana kwa lengo la kununua mayai ili nikafanye mboga kwa ajili ya ugali.
Bahati mbaya mayai yakawa yameisha. Huyu mama akaniuliza mayai mchana huo ni kwa ajili ya nini, kinyonge nikamjibu kuwa ilikuwa mboga kwa ajili ya ugali ambao tayari nimeshasonga.
Mama akitabasamu kisha akasema vijana mnaoishi bila wake mnapata tabu sana. Sikuwa na neno zaidi.
Mama akaniambia kama unahitaji mboga, subiri nikuletee. Mama aliingia ndani na kutoka na bakuli la udongo, kisha akaliweka kwenye mfuko wa Rambo (miaka hiyo rambo ilikuwa huru kutumika).
Nikakabidhiwa nami nikashukuru na kuondoka. Mama alikuwa amepika samaki mkavu, Mixer bamia na nyanya chungu, mboga ilikuwa
Imepikwa vyema sana.
Jioni nikarudisha bakuli lake likiwa kwenye mfuko. Nilipofika akaniambia, ningetuma mtoto kuja kufuata hilo bakuli. (huyu mama alikuwa na mabinti kadhaa hapo kwake.) nikahisi labda mama anataka kunipa binti yake mmoja.
Usiku nikiwa nimejilaza nikitafakari maisha sms ikaingia.
"mayai yamekuja" huyu mama huwa namuachia namba kwa ajili ya miamala ya pesa, hivyo alikuwa namba yangu.
Nikamjibu "nitanunua kesho, leo nimeshiba"
Nikaona nimsifie kidogo " mama mboga ilikuwa tamu sana". Jibu la mama sasa " vipo vitu vitamu zaidi ya hivyo" nami nikajitoa ufahamu, "natamani kuonja na hivyo pia"
Asubuhi yake siku ya Jumapili, familia ilipoenda kanisani nikapewa mwaliko rasmi, nikaenda kula tunda.
Asikwambie mtu kuna wamama watu watu wazima lakini mashine bado zipo vizuri kabisa.
Namshukuru huyu mama alinirahishia maisha sana.
Lile penzi lilikuwa tamu sana mpaka mama alipohama hapa mjini.
 
Ukijifanya kufikiria sana, sometimes unaonekana kichaa. Siyo kumeandikwa Home of great thinker, ndiyo ujioneshe unajua kutumia sana akili. Mengine yanawaziwa kawaida tu, ukizidisha akili na sababu za kukariri, watu wanakuona chenga
 
Madem wa kipare wanapenda Sana mgegedo mkuu.. Sijui Wana nini na io kitu
 
Ukijifanya kufikiria sana, sometimes unaonekana kichaa. Siyo kumeandikwa Home of great thinker, ndiyo ujioneshe unajua kutumia sana akili. Mengine yanawaziwa kawaida tu, ukizidisha akili na sababu za kukariri, watu wanakuona chenga
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo Sana ndo Mana unatoa mapovu
 
"Asikwambie mtu kuna wamama watu watu wazima lakini mashine bado zipo vizuri". MKUU samahan unasema uyo mama alikuw na mashine na ilikuw vizur.sihaelewa apo
 
Hakuna Mama Boya Kiasi iki😏😏😏 Story Unaisoma tu Unajua hii Chai Mbichi Kabisa
#TOKOMEZA CHAI# Kwenye uzi wetu
 
Mzee umepata ruhsa ya bi mkubwa bi Hamida lakini?
 
Mmmh mchaichai [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
"Asikwambie mtu kuna wamama watu watu wazima lakini mashine bado zipo vizuri". MKUU samahan unasema uyo mama alikuw na mashine na ilikuw vizur.sihaelewa apo
Wewe mtu akiandika mashine unahisi nini?
Muwe mnadadisi kabla ya kuuliza, huko Temeke maana ya mashine ni K......

Ukisikia binti ana mashine mbovu.... Jua "k" hiyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huku si pakukaa maana pamejaa ufuska tu ngoja niondoke kimyakimya, shida atakuja baharia flani kusimulia alivyomkula dem wang kimasiara dah.
Tushamla demu wako kimasihara we nenda tu tushamalizana na wewe
 
Nimemaliza zangu form 4 mwaka 2010 matokeo yametoka fresh nasubiri kuingia advance, kitaa sifa kibao aisee cz tulikuwa ndo form 4 wa kwanza hizi shule zetu za kata,so muda mwingi nilikuwa nashinda home kulala sana jioni ndo nitatoka kwenda uwanjani kucheza mpira siku zinaenda
Kuna jilani yetu alikuwa amesafiri kuna mdogo wake alimwambia aje kukaa pale ili awe mlinzi wa ile nyumba,huyu dogo kipindi hicho alikuwa form 3 shule niliyomaliza mie ila hatukuwa na urafiki wowote wala kulikuwa hatuna stori nae wala nn cz shuleni nilikuwa naonekana mtu flani busy sana na mambo yangu hata alivyoamia kitaa nilikuwa ni salamu 2 kila mtu na zake
Chumba changu kilikuwa upande wa njiani so naweza kukaa chumbani kwangu nikifunua pazia naona kila mtu anayepita,na kioo cha dirishani kwangu watu wengi walikuwa wanapenda kujiangalizia,so mie utakuta nipo ndani nawachora 2 wanavyojiangalia,
Kuna Siku nimekaa ndani nakuta kale kasichana kamekuja pale dirishani kanajitengeneza nywele,,nikaamka nikaenda,kalishtuka balaa,mie nikaanza kukaongelesha pale"aisee naona unajiweka vizuri wakubwa waende wakafaidi",jibu lake sasa "sio wakubwa 2 hata ww unaweza kufaidi"
Hapo hapo nikauliza ko sahizi unaenda wapi? nikaambiwa narudi home? Uko na nani? Peke yangu, basi nakuja!,pw
Baada ya dakika 10 hv nipo gheto kwa mtoto nafanya yangu,kakawa kapenzi kangu rasmi mpk naenda zangu advance,
Nikaja kukakuta kameolewa na broo wangu wa kitaa aisee na kuna siku nimekutana nako kako saloon kwake napita kakaniita,kanaanza kushika shika ukuni wangu eti kameumic hatr nikakapotezea mpk leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…