Hakuna Mama Boya Kiasi iki[emoji57][emoji57][emoji57] Story Unaisoma tu Unajua hii Chai Mbichi Kabisa
#TOKOMEZA CHAI# Kwenye uzi wetu
inaonekana hujajua kimasihara zikoje..ni ganda la ndizi tu...take easy and enjoy...usicomplicate mkuu...uko deep sana...
 
AMBAVYO NIMEMLA KIMASIHARA MPANGAJI MWENZANGU LEO 13/2/2021


NAANDIKA KISA HIKI NIKIWA NIMEJIFUNIKA PAZIA BADALA YA SHUKA, utaelewa kwanini huko mbele...
Pia mtanisamehe ikiwa kutakuwa na typing errors katika kisa hiki maana huwa sina kawaida ya kupitia nilichokiandika.

Ok tuendelee.

Leo tar 13/2/2021, baada ya Jana Simba kunifurahisha nikaona nijipe likizo ya siku 1 nisiende kazini.

Asubuhi nikaona nifanye usafi, wa kufua nguo na kusafisha geto. Nikanunua sabuni, nikaloweka nguo (nguo Kama zote mixer mashuka). Baada ya kuloweka nguo, nikaona nifanye usafi wa kusafisha geto mixer kudeki.

Baada ya kumaliza kufagia, nikataka nideki ila nikakosa dekio (of course sinaga dekio, nayegemea la wapangaji wenzangu. Nikaamua nianze kufua.

Nimefua Kama dakika 15, wingu zito likatanda. Baadae kidogo bog la mvua Hili hapa. Nikaahirisha kufua nikazama geto kulala. Mvua imenyesha Kama saa 1 hivi (SAA 5-6 mchana) ikapunguza.
Nikakaa mlangoni nikaanza kufua. Sasa wakati nafua, mpangaji mmoja (wa kike) akatoka. Baada ya muda kidogo, mama mwenye nyumba nae akatoka na wageni wake akawa anawasindikiza. Nikabaki mwenyewe pale nje, na huyo mpangaji mwenyewe aliekuwa amebaki ndani

Kama dakika 2 mbele akatoka, akaanza kunisemesha

YEYE; P kazi ya kufua ni ngumu mno
MIMI: Yaani noma Sana, kwaiyo unashauri nini?
YEYE: Uoe!
MIMI: Hapo hapana, labda uhamie humu kwangu tuish wote!
YEYE: Akacheka.

Basi akasogea karibu na pale mlangoni nilipokuwa bafulia. Nikaendelea kumtania aje kunitembea kwangu ndani akasema hapana kwa sababu kesho ana safari, halafu anaumwa (period), kumbe muongo! Akasema labda akirudi atakuja ndani mwangu. Nikamwambia Aingie basi japo dakika 1, akasema haoana, Basi tufanye usiku!! (Ameshanasa)


Nikamuuliza Sasa usiku itakuwaje? Akasema nitaenda ndani mwake! Nikatoa pendekezo, au tukuchukue chumba guest? Akauliza tutalala? Nikamwambia tutaenda jioni saa 11 turudi usiku 3/4 akakubali.

Nisiwachoshe msinichoshe..nimefua nimemaliza, nikaanika ila manyunyu Hadi Hadi kesho😀😀, imefika SAA 11 nikampanga akasema yupo tayari, nikatangulia akaja.

Nimemtafuna viwili Aiseee!!

Nguo hazijakauka, net haijakauka, mashuka hayajakauka!! Nimejaribu kujifunika khanga niliyopewa na ex naona mbu wananitwanga

Hapa nimevaa jeans, shati, gloves mikononi, soksi minguuni na nimejifunika PAZIA
 
Dadeq..
 
Duh ...saved by the bell!!! Nimetetemeka!!
 
MWAMBAAAAAAA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi
 
Ilaa yule mwana aliewekaa Vidolee kwenye utamu akaishia kunyimwaa nashindwa kabisa kumsahau.. Na aliekulaa chiziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hiyo stori ya mwana aliyeweka vidole sijaiona kiogozi.

Mdogo mdogo uzi unatembea...
 
Huku si pakukaa maana pamejaa ufuska tu ngoja niondoke kimyakimya, shida atakuja baharia flani kusimulia alivyomkula dem wang kimasiara dah.
Sawa malaika wasalimie wenzako hapo yeriko
 
Hongera Sana Mkuu kula kimasihara threesome

Katika mikoa wife huwa hapendi nisafiri peke yangu ni huko kusini. Mabinti kule wanajua Sana, usipokuwa makini unaweza jikuta unatangaza ndoa 🙌😂
 
Ukapiga threesome, 1978 hiyo... hatari sana!!
 
Hiyo haina shida, ilikuwa miaka sita hivi kabla sijaoa wala kumjua Hamida.

Ndio maana stori zote baada ya 1984 zimezuiliwa.
Hahahah kongole kwako mshua....ila hyo miaka kwetu co muhmu sana hata za baada ya hapo zirudishe miongo kadhaa nyuma utuletee hapa sisi utatubariki tu

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Sipati picha umekula kimasihara kumbe uliyemla amesoma story yako...

Haya, tuendelee!
Na hilo lazma litokee maana vijana wanafunguka sana. Japo wanaficha majina lakn code zinakuwa wazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…