Mzee wangu Asante sana sana..
Mara zote huwa sichoshwi na nyuzi zako.
Namna ya usimuliaji wako ni wa kipekee sana.

Kuna mzee anaitwa Mwitore, I wish ungemsaidia. Ana uzi wake ameshikwa na binti mdogo yapata miaka 20 na hajui namna ya kuchomoka.
 
naona uliliwa kimasihara mdau,atakuwa alikuwa anatafuta soko..
 
Happy valentine wakuu, leo katika hali isiyokuwa ya kawaida nimemfuma mpenzi wangu na sms za jamaa yake aliyelala naye jana na wawili wanaopangwa kukutana naye jioni na ashatumiwa 200000 na huyo mmoja nikakwambia kiustarabu tu mambo yote na nikawa nimeyamaliza tu kiaina ili nianza na mchezo e bana mtoto wa watu karuka vibaya mno nikakosa vyote, aisee ningejua ningemwambia baada ya kula tunda sasa ngoja nianze na mimi kuzipigia kazi zangu nilizozidanganya nimesafiri, kila mtu na zamu yake ya kukamatwa msisahau kufuta sms
 
NIMEINGIA LINDI MJINI SASA HIVI. HAKUNA MWENYE CONNECTION HAPA KWA LEO?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Daah, nilipoteza simu ngoja nimchek mdau wangu yupo mtwara hauwezi kosa au ukiona kimya, mchek bodaboda mjanja mchane mwambie nataka totozi haukosi hapo kuna waarabu koko wanajificha ila wanalika kama kawa
 
Wacha weeeh hii masikhara sasa.
 
Duuuuuuh hatareeeeh sana.
 
Tunawaza sana ngono kuliko mambo ya maendeleo

"Hauwezi kulikomboa taifa ikiwa vijana wenye nguvu wanawaza ngono pombe na starehe" akaondoka zake Congo ile Zaire ya zamani
Naona umekosea platform mkuu
 
Tunawaza sana ngono kuliko mambo ya maendeleo

"Hauwezi kulikomboa taifa ikiwa vijana wenye nguvu wanawaza ngono pombe na starehe" akaondoka zake Congo ile Zaire ya zamani
zote hizo ni njia za wenzako kujikomboa kiuchumi, unafikiri kila kaajiriwa kama ww, wenzako pombe nda kazi, starehe ndo kazi, ngono ndo kazi
 
Daah, nilipoteza simu ngoja nimchek mdau wangu yupo mtwara hauwezi kosa au ukiona kimya, mchek bodaboda mjanja mchane mwambie nataka totozi haukosi hapo kuna waarabu koko wanajificha ila wanalika kama kawa

Mkuu ukipata namba nipasie na mimi mkuu hao warabu koko ndo rangi safii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…