We Jamaa Hiyo Ni NEG Mzee

Vipimo Vingi Haswa Duo (Syphillis + HIV) Ukiziacha Longtime Zaid Ya 20mn Vinasoma Mistari Yote Miwil Au Mitatu.

USIPANIK
 
[emoji406]zenyewe zimejaa kuhus wanafunzi wa vyuo, it means dents wa chuo ni tia maji tia maji lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko mtaan hawalani kiutani? Hizi za vyuoni zimeshapoteza mvuto. Tunataka za uraiani.
Mkuu tumekula kimasikhara mpaka wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ila hatusemi kwa sababu za kiusalama, kula sana wayahudi, masadukayo, waebrania, tanapa, mabaharia wa kike, wamasai na kila kiumbe chenye pumzi na jinsia ya kike ila tunaogopa kusema hadharani kwa sababu tutaonekana tuna elements za abnomalities
 
Ha ha ha ha Mchepuko unakupanda kichwan ulichokifanya ni sahihi muache sasa akatafute mtu wa kumtambulisha kwa mkewe ila sio wewe...

Mkeo anakupenda sana Mzee najua kuchepuka huwez kuacha ila mlinde na simama na mkeo kwenye kila kitu

NB: Wale mnaojiona wakamilifu tunasubri comment zenu muanze kupiga mapambio ila mje na maji tiririka na mvae barakoa maana changamoto zimezid sa hvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…