Mkuu hujaeleza ile zawadi aliyosema atakupa usiku mzima [emoji16][emoji3]
 
Hehehe huyo siyo my wangu. Nipo juu ya bati narekebisha antena nashuka nakuta missed calls zake 12 na meseji ya kuniambia niendelee na umalaya wangu.

Yaani angekua my wangu lile tukio la kwanza tu ugomvi unakua wa miezi 8 hiyo chansi ya ugomvi wa pili inabidi ije mwakani.
 
Kwa kweli gharama ya uzinzi ni kubwa sana
 
kushikwa ready handed ni msala sana🤮🤮
kuhisiwa inabadilisha matokeo kuliko kushikwa na namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…