Ngoja niwadondoshee VISA matata sasa

Naona mmepooza mnoooo ''. Anzeni kuitana huko mje na series zangu Mimi huwa nikonki lazima mkapige nyeto '' Nina visa vingi Vya kufanya ushetani mpaka shetani ananiogopa

Haya njooni haraka Sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
We Jamaa Hiyo Ni NEG Mzee

Vipimo Vingi Haswa Duo (Syphillis + HIV) Ukiziacha Longtime Zaid Ya 20mn Vinasoma Mistari Yote Miwil Au Mitatu.

USIPANIK
Asante kwa kunitia moyo boss ngoja nipunguze stress nichape kazi maana utendaji kazi wangu umekua wa ovyo sababu ya stree bless sana mkuu
 
Iko vizuri sana sana...
Pole sana, ila hata mchicha wataka kuwa mbuyu, chukua tahadhari bro...
 


Ngoja nichukue utelezi wa bamia hapa nijiandae na kunyetuka
 
Mkuu safi sana hata kama unachepuka mapenzi kwa wife yasipotee wanaume wengi wanafeli hapa akichepuka mpaka mke anajua hili ni kosa. Mimi huwa nawaambia kabisa mkiona simu ya wife iheshimu sitaki ligi na baby mama wangu[emoji23]
Kabisa mkuu,
Michepuko wapumbavu Sana.

Wanasahau kabisa kua MAMA WATOTO ndo injini nzima ya familia.

Vihelahela, baraka, jeuri na fujo zetu mjini zinatokana na wake zetu walotuvumilia kweny ndoa kipind hatuna hata senti.

Leo Niko na senti,
Eti uyu Mbuzi wa kupita akamkoromee MKE wangu.

Aisee, sitakagi masihara kwa wife.

NAMPENDA SANA MKE WANGU, Sema ndo ivyo tamaa za mwili TU zinanivurugaga.

Ila DAIMA mke wangu Ni wa THAMANI SANA.

Mchepuko yeyote akitaka tuelewane, amheshimu Kwanza mke wangu uyu.

HAPO NDO MAMBO MENGINE YATAFATA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia ya muongo ni fupi ila nadhani wewe umeamua kutumia ndefu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana mzee. Wanawake wa aina hiyo ni dhahania, ila hao wenye tabia za mchepuko wanapatikana sana.
Respect your woman nigga
 
Hii habari ndefu namna hii ni ya kumchapa mtu makofi tu au kuna lingine?

Ila hongera kwa ujasiri mkuu maana kuna siku nilitest kama wewe mchepuko ukanikomoa kwa kutuma meseji za mahaba kila muda ili mke wangu anibambe
Mengi nimefupisha,
Uyu uyu mchepuko nliemzaba makofi Kuna kipind aliwahi fua nguo nlizokuja nimevaa ili nisirudi home.

Anadai
"Nmeziona chafu nmeona nizisafishe"

Nkamuuliza,
"Kwaiyo umezifua unategemea ntavaa Nini sasa nkitoka hapa"

Akajibu
"Ooh, kwani unaondoka? Mi nkajua Leo unalala uku mpk kesho!"

Nkamuuliza,
"Kwani nlikwambia leo nalala uku? ,
Kwani ujui natakiwa kurud home kwa wife. Narudije sasa, uchi au?"

Nkaona ananiletea usiku TU uyu, analazimisha nilale kwake.

Fasta nkampigia wife
"Chukua ovaroli,gloves, praizi mbili, kata moja, Lile jinzi gumu gumu na TISHETI YA KAZI. Kuna dili moja nimepata mida hii mpe boda boda aniletee hapa kazini chap"

Boda alipofika kazin ananipigia hanioni, nkamuelekeza ampe mshkaji wangu nishamseti tayari aniletee chap kule kwa mchepuko.

Nkatoka kwa mchepuko, nkaenda zangu kwa rafki angu.

Kufika kwa rafk angu, nkampigia wife msosi muesabu na shemej ako kabisa maana tutarudi mida mibaya na migahawa washafunga. So unajua shemej ako uyu Ni bachela. Msitili kwa leo.

Wife kakubali.

Tumezuga zuga mpk mida ya saa 8 usiku, tukajipaka vumbi kias na top kwny viatu tukaelekea home kana kwamba tumetoka saiti.

NIKAJINASUA KWNY MSALA, MAMBO YAKAENDA VIZUR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[/QUOTE][emoji1][emoji1][emoji1] aah wapi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kweli alikupanda kichwani, ila usijerudi hapo, ukirudi tu ndoa ipo hatiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…