[emoji1][emoji1][emoji1] aah wapi mkuu.

Naona unamoyo usio kata tamaa kabisa[emoji23][emoji23]
 
Sana mkuu.Boge la mama yan
Haswaaa....

Mama watoto tumetoka mbali, afu Mambo ya kiswahili swahili Hana kabisa.

Namcheat Sana, na kwa jins anavonipenda akijua anaumia Sana mpk analazwa hospitali.

Na Mimi kujizuia siwez sema ndo hivyo najitahidi Sana nisimuonyeshe na asijue kabisa upumbavu wangu wowote.

Na ndo maana hata nikicheat na mwanamke mwngn

Ni lazima nimwambie kabisa wazi nimeoa, na MKE wangu Ni Yule pale. Umkariri kabisa

Nisije nikaskia unajipitisha pitisha Wala kujisemesha semesha wife wangu akajua.

Itakua Ni balaa,

Huwa nawachimba mkwara kua
"MKE wang Ni mshari na mkatili Sana Yule, akikujua ujue umekwisha. Usipochanwa na viwembe Basi utamwagiwa tindikali. Jitahidi kabisa usije ingia 18 zake,utaisha"

Basi,
Wanamuogooopa mpaka Basi[emoji1]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
In short ulipata mke bro.sijui kabila gani mvumilivu hivyo. Ila wewe ni kama umbwa Umbwa mwitu vile? mbona inawezekana kutulia na wife wako mkuu.
 
Mkuu una akili nakupongeza sana.
 
Maanguko ya vijana wengi yanaanzia pale unaposhindwa kuudhibiti mwili wako.....Ukiona maamuzi yako yanaendeshwa na msukumo wa nafsi basi jua unaelekea kwenye anguko kuu......mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake.....
 
Mwaka 2000 niliwahi tandika makofi toto moja ya turian tanga ikiwa ni house girl home kwa kuingilia urafiki wangu wa karibu na binti wa jirani na home ambaye ilikuwa nioe, lkn miaka mitatu baadae nikaja kuoa binti mwingine ambae alikuwa............

Haya mambo yanatokea.
 
Ha ha ha....
Kuna watu wanajiona wakamilifu mno humu

Ula ukikaa nao pembeni unawaona jins wanavyoteseka jinsia ya kike ikikatiza.

Mambo mengine tuyaachee Kama yalivyo, NATURE ICHUJUE MKONDO WAKE.

Kikubwa heshima TU kwny familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake bwana!...kupenda kwao ushindani na kushinda kumesababisha akusamehe kiulaini tena kwa furaha.

Ila ujiandae na wewe kuchapiwa
Nisingesimama upande wa mchepuko,

Ningeonekana wa hovyo Sana kwny jamii,

pia mchepuko angejiona wa maana Sana wakati kiuhalisia Hana mchango wowote kwny kusimama kwangu kimaisha.

Kwa Namna yoyote ile,
Kwenye lile chokochoko.

Nilipaswa nisimame upande wa wife.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upumbavu kumtesa mtoto wa watu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aalifanya padogo..mtuliege na wake zetu kutwa kucha na Michepuko yakiwakuta mnatweta..looh!!
[emoji23][emoji23][emoji23] HAMNA dada angu,
Uyu mchepuko alisahau Sana.

Akasahau mi sio mwanaume wa kupelekeshwa pelekeshwa.

Kwa upuuzi ule ningeendelea kumchekea,
Kesho ningetelekeza familia hivi hivi.

Tena na ada za watoto nisingelipa Tena.

Afu anakwambia
"Sasa BBY mitoto yenyewe ile Haina akili Kama Mama ake, Unapoteza TU ada yako kuwalipia Mbuzi wale"

Afu ukute mwanaume akili ushashikwa unakenua kenua TU meno[emoji16][emoji16][emoji16] familia inateketea.

Ukishafulia,
anakutelekeza unarudi kwa mkeo kichwa chini mikono nyuma huna hata buku mfukoni.

Na wake zetu walivyoumbiwa na huruma,
Anakupokea na maji ya kuoga ana kutengea

DAH! MAISHA HAYA[emoji848]

MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU wake ZETU KWA UVUMILIVU WAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…