Tabu zoote hizo za nini..

Halafu sisi wanaume tunajificha kwenye kichaka cha HULKA
Matamanio tumeumbiwa, ni mtihani kwetu sisi, hiyo inabidi tuyashinde hayo matamanio tuwe wenye kufaulu, na sio kuendekeza na kuwa ni wenye kufaulu.

Tizama chief, vipi kama mkeo angekuwa na akili fupi akajidhuru(kujiua) tayar kina G ungewapa majanga mengine.
Vipi kama angekufa kwa ile presha, bila kujua km mchepuko kasababisha, kwa akili za nyege inawezekana na huo mchepuko ndio angekuwa mke anaefata kumrithi marehemu, sasa jenga picha una kichwa maji kama huyo ndio mkeo, familia unaitengemeza ama unaizamisha[emoji848]
 
Maisha mtihani siku hazifanani, yamewakuta wengi kukosa hakuna mshindani leo fulani kesho hatujui nani?

Hadithi hii iwe fundisho kwa wote darasani.

Yote kwa yote umepata mke ila kuwa makini hakikisha asikuchoke utamkumbuka mkuu.
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...
Tulia na familia yako, ingawa tabia ni kama ngozi...
Ndoa Ni Kama siasa,
Ukiiishi kwenye ndoa unatakiwa uishi kisiasa zaidi.

Kwa wife
Maneno meengi, kupetipeti kwiiingi, vijizawadi vya hapa na pale.

Matunzo na kila kitu kinaenda sawa nyumban.

Yaan Unang'ata uku unapuliza, sio unachepuka mpk posho ya meza huachi na familia unasahau kabisa.

Hapo Kama baba wa familia unakua umefeli kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na changamoto zote ulizopita bado huachi michepuko una roho ngumu, achana na hao visirani
 
Mkeo ni moja ya wanawake bora kabsia wale wavumilivu na wenye upendo wa dhati, shida unaendelea tena kumuumiza mkeo na ni mvumilivu sana na muelewa achana na michepuko mkuu, halfu watu huchepuka kwasababu maalumu unakuta mke mkorofi au ana shida fulani sasa mkeo sioni shida yake ya kumfanyia hayo yote
 

Mi nina swali dogo, umesema ukasikia ghafla mtu amekukwapua simu “wife” kisha akaondoka na boda. Na wewe ukaamua kumpigia mchepuko simu ili umuulize kile ulichomuuliza sasa ulitumia simu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…