Mkuu,
Kuchepuka Ni hulka nnayoshindwa kuizua kabisa.

Kuna wanawake wakikatiza usoni mwili wenyewe unauskia ukilalamika

"Acha upumbavu Mbwa wewe, pisi kama iyo unaiachaje "

"Ebu msogelee kwachukue NAMBA Kwanza"

Unaona acha isiwe tabu,
ebu ngoja nionje kidogo Kwanza.

Inakua ndo ushasaliti tayar.

ILA NAAMINI MUNGU WETU NI WA UPENDO SANA

Katuumbia udhaifu huu wanaume wengi, na naamini anatuona unavotutesa.

Na naamini siku ya Mwisho atatusamehe na Moto wa milele.[emoji120]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa mikeka
 
Mi nina swali dogo, umesema ukasikia ghafla mtu amekukwapua simu “wife” kisha akaondoka na boda. Na wewe ukaamua kumpigia mchepuko simu ili umuulize kile ulichomuuliza sasa ulitumia simu gani?

Halafu alipofika nyumbani akaja muomba wife simu akakuta msg za za mchepuko amefuta na namba amefuta akaanza then uzuri namba yake nilikua naikumbukakumbuka mhmhmhhh kuna sehemu katunywesha chai ya malimao
 
Mindset tu hiyo usiwe mtumwa wa fikra hizo, mbona wanaume wengine tumeweza mzee kuishi bila kuchepuka, jambo lilote huanzia kichwani na ndiyo mwili anajibu mashambulizi, badilisha fikra hizo
 
Mungu kakujalia make mzuri na anaye kupenda lakini wewe unajiendekeza na mambo yasiyofaaa.
Jiangalie utapata magonjwa na matatizo mbalimbali
Na angalia usije mwambukiza mke wako halafu mbeleni ukaanza kujutia
TULIA NA MKE WAKO,MPENDE,MTUNZE,MHESHIMU NA UMTHAMINI.
Duh et na unajisifu kwamba hutaacha kuchepuka
KUCHEPUKA SIO DILI!!!
Vipi hivi na yeye akinza kuchepuka itakuaje/utajiskiaje???
 
Halafu alipofika nyumbani akaja muomba wife simu akakuta msg za za mchepuko amefuta na namba amefuta akaanza then uzuri namba yake nilikua naikumbukakumbuka mhmhmhhh kuna sehemu katunywesha chai ya malimao
Hamna Chai hapa.

Mi utaratibu wangu huwa sisevu NAMBA za michepuko kwny simu kabisa.

Huwa nazishika kichwani moja kwa moja, nikimhitaji nampigia

Ata ikitokea kaikuta kwny call list hawez hisi chochote maana simu zangu za kazi huwa wanapiga watu wengi tofauti tofauti.

Changamoto Ni sms, zikikutwa happy Cha kujitetea hamna.

maana zimetumwa na wewe umejibu.

Hapo kuchenga hamna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mindset tu hiyo usiwe mtumwa wa fikra hizo, mbona wanaume wengine tumeweza mzee kuishi bila kuchepuka, jambo lilote huanzia kichwani na ndiyo mwili anajibu mashambulizi, badilisha fikra hizo
Mshukuru mungu kwa hilo, mi nilishajaribu nimeshindwa kabisa.

Labda kipind nikiwa Sina hela.

Ila iyo ndio starehe yangu zaidi, napenda Sana kujaribu vitu vipya vipya Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata ww.....
mm nikiingia choni tu bahati mbaya akapiga missed call moja tu.....
atanuna wiki tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…