Haka kastori najaribu kukavutia picha kwamba:
Mimi ndo mme
Mke ni Sky Eclat
Mchepuko ni Kasie
Marafiki ni Bonny Mtambuzi KakaKiiza na Mwifwa
Polisi ni Joanah
Bodaboda ni Kaizer

Yaani tunatengeneza bonge la bongo movie. Hawa kina Kanumba na wema Sepetu umaarufu sijui waliupataje wallah
 
We Jamaa Hiyo Ni NEG Mzee

Vipimo Vingi Haswa Duo (Syphillis + HIV) Ukiziacha Longtime Zaid Ya 20mn Vinasoma Mistari Yote Miwil Au Mitatu.

USIPANIK
Nimewahi jipima kikasoma neg. (ndani ya lisaa) nikakiacha ile kurudi kimesoma mistari mi 3 nilidata

Hadi kujipeleka shirika la shidefa nikapima wakasema neg. sikuwaamini nikaenda hosp. nega tangu hapo nimekoma jipima naogopa balaa maana niliwaza 24/7
 
Huyo ndo wife
 
Mwanaume ukimpa Wanawake warembo 100 alafu mwambie achague mrembo 1. Atachagua amtakae ila bado atakua anawafikilia wale 99 waliobak.

Ndivyo alivyoumbwa ivo Mwanaume Ndio mana mungu amesema aoe mpka wa 4. Kama hawez kufnya uadilifu aoe mmoja.
 


Weee babuuu weeweee.....

Unataka kovidi ikunyemelee Tena.....!!!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Kunanaaleeekiiiii.......!!!!

Malabuku zako kumi na nusu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hi mvua babu inakuwejee, sababisha bathiii.....

Yaani wanaume mko 6 wanawake tuko 3, mnataka kutuchakaza amaaa....!!!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hahahaha daadeq....

Kovido ilitaka kuondoka na mguu wangu wallah... speed ya kukimbia wale wadudu ni hatarious

Alhamis inshallah naenda malizana na doc... itabaki kazi moja tu. Kuambukizana mimba...
 
Mzee ndo hali nayoipitia hapa nimawazo tu 24/7 aisee acha kabisa sijiamini hata chembe Mungu niepushe nimekoma looh
 
Hahahaha daadeq....

Kovido ilitaka kuondoka na mguu wangu wallah... speed ya kukimbia wale wadudu ni hatarious

Alhamis inshallah naenda malizana na doc... itabaki kazi moja tu. Kuambukizana mimba...

Aaaahahahahhahahahahaaaa

Babuuuu.......!!

Asante kwa kiwi uliyonipa asubuhi hi πŸ˜‰πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…