Story tamu sana hapa kuna funzo kwa wababa ambao wameoa watunze wake zao na tunapewa fundisho ni marukuku kupangia michepuko ni kosa la jinai nadhani wakulungwa wamenipata
 
Mgonjwa wako Alipona????
 
Mke wako ni mwanamke wa kipekee sana aisee..


Sijui kama hawa wakwetu wangeelewa story kama hiyo
 
Hii imenikumbusha namna kidem changu cha ifm kilivyodukua password yangu na kuchukua namba za pisi zangu zote plus mama watoto....asee kiliniharibia kwa mama watoto
 
Hapo ulivyomaliza kuhusu mkeo kwamba anakusifia wewe endelea kujipa moyo tuu WANAWAKE HATUKO HIVYO KWANZA KWA TUKIO KAMA HILO LA KWENDA MPK POLISI NADHANI KILA MTU ALIRUDI NA NJIA YAKE,kama unadhani amekusamehe unajidanganya maana yajayo yanafurahisha.
 
Ime

Imeandikwa "apataye mke mwema apata kitu chema". Hongera mzee baba, mke unae!! Ila huo mchepuko chenga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…