mkuu tupe mwendelezo!!!!
 
Mwaka 2014 naenda kufanya Master Mzumbe Morogoro nilifikia Morogoro mjini kupumzika kidogo nikafikia Flomi ili kesho yake nireport. Asubuhi wakati nakunywa chai restaurant nikakutana na family ya baba, mama na watoto wa kike wawili visu balaa nao wanakunywa chai.

Baada ya pilika pilika za siku za kureport na kuchukua hostel ya kujitegemea nje ya campus, jioni nikakutana na mmoja ya hao watoto. Nikampigisha story mbili tatu nikagundua naye ni first year aliletwa kureport, tunakaa hostel moja na tukabadirishana numba za simu. Around saa tatu usiku akanitext kama nina movies aje kutazama, nikamwambia njoo ninazo. Siku hiyo hiyo nikala mzigo na kuamia kwangu mazima
 
Mkuu wife wako una imani habanduliwi? Ungejua ungenyamaza tu..
Wenzako mpaka wake za watu wametuzalia watoto na vyeti viwili vya kuzaliwa vilishatengenezwa sijui unaongea nini?
 
baharia una zari kinyama,hongera.
 
INAENDELEA

Baada ya huyo bint kuondoka, nikampigia sim rafiki yangu na kumweleza tayar nmempatia dawa, akaniulza vp amefika kwako nikakataa na kumwambia alikuwa fasta sana ila ameahidi kuja kunitembelea akipata muda,
Nikamuulzia vp ulishakula hapo au dada yake ndo unamiliki, akakataa na kusema n marafiki tu, kama ninataka niombe tu mzigo, ila akanitahadharisha kuwa niwe makini ikibid nimpime kwanza na nitumie kinga maana kitaa chao siyo salama kabsa...

Nilichofanya nikaandaa vipimo vyangu getto nikamcheki na kumuomba aje, kesho yake alikuja kweli na sikuonesha kuwa na hofu sana, sijui ujasir nilitoa wap, alivyofika n alikuwa kajiandaa na show tu, sababu kinga zilikuwepo nikapiga kimoja cha kistaraabu, ila katikati ya mchezo nikafanya kucheki tone ya anus baada ya kulowesha na mate, aisee ilikuwa lose sana, tone ya misuli around ilikuwa waz kabisa, ila ye akaniambia hajajiandaa kufanya huko labda aende chooni kidogo ila nilikataa, kichwan nikajua kumbe nimeangukia kwa kahaba aliyekubuhuu then tukawa tumepumzka, ndo nikamuomba tucheki afya, na vifaa nikatoa...sikuamini ninachokisikia binti alikataa na kuniambia hawezi pima HIV, kwa kifupi hajiamini....

NILIKATA TAMAA, NA KIUKWEL SITAKI TENA KULA TUNDA KIMASIHARA.
 
Ngoa niwape na hii nilivyomla Air hostess( Muhumu wa ndege). Miaka ya nyuma kabla Serikali haijazifungia ndege za Shirika sitapenda kulitaja ... Nilikuwa mpenzi sana wa kusafiri na ndege za Shirika hilo maana zilikuwa kubwa so ukiwa angani hamna ile mitikisiko kama hivi vindege vya ATR a.k.a Mapanga Boy. Sasa kila nikiwa nikisafiri huwa nakutana na Air Hostess fulani huwa amenona nona sana na ni Pisi ya ukweli mliokuwa mnasafiri na ndege zile kipindi kile mtakuwa mnamjua, kwakuwa safari si ndefu sana huwa naagizaga Red wine, kwaiyo akawa kashanizoea kihaina.

Sasa siku moja wakati wanasambaza vinywaji, kukawa Red wine zimeisha akaniuliza kama natumia White wine, nikaamua kumzingua/kumtania kwamba naogopa kunywa White wine kwakuwa kila nikitumia huwa zinashuka chini(zinanipa genye), yule binti akacheka sana.

Sasa toka siku hiyo ikawa kama kamchezo anatania leo zipo White wine zile zenye madhara kwako.. Then kama ipo Red wine ananipa safari inaendelea yaani ikawa hivyoo. Sasa siku moja tunatoka Dar mvua inapigapiga kuna kaubaridi kwa mbaali, yule binti nae alikuwepo maana nilikuwa na bahati sana ya kusafiri nae. Na kweli siku hiyo sijui walijisahau kuweka vinywaji vya kutosha au watu waliokuwa mbele yangu walimaliza zile Wine, so zikawa zimebaki White wine tu.

Wakati anapita kusambaza vinywaji akaanza na utani wake uleule wa siku zote, Leo zipo zenye madhara tu.... Nikamjibu leo haina jinsi wacha ninywe hizohizo zenye madhara.. Basi nikajigongea Wine yangu.
Ndege ilipofika mimi nikawa kama wa mwisho kutoka, yeye akawa mlangoni, Nikaamua kumtania leo nimetumia yenye madhara naomba namba yako, mambo yakibadilika nikutafute.... Akataja namba 0.... Mzee Baba sikuamini niakaandika fasta huku natembea... Nikajisemea potelea mbalia haata akinipa namba ya gari hamna shida.. Wakati nacheck out nikajaribu kupiga simu ikaita akapokea simu binti kasuati kazurii nikamwambia hio ndio namba yangu.

Kwakuwa ilikuwa mida ya asubui ilipofika jioni kiutani kiutani.. Nikamtumia text.. Nikamwambia ile kitu ishaanza niletea shida. Akareply nitakucheki baadae leo sijarudi Dar es salaam... Kufupisha story .. Na kweli baadae akanicheki sikuchelewesha nilikomaa nikamgonga siku hiyo hiyo. Ikawa kila akija huku nikawa najilia tu vyangu.. Mpaka pale Shirika lao lilipofungiwa na Serikali.

Ila baada ya kumzoea sana nilimuuliza ilikuwaje ukanipa tunda kimasihara kiasi hicho alinijibu "Eti alikuwa anapenda sana macho yangu "
 
"kunyukua" ni msamiati mpya hapa jf, mkuu tunaomba maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…