Vip mkuu hela ulikuja kuzipata au ndo potelea mbali
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Naona umetupa na mafundisho kabisa, kimasihara haijawahi inafanya vijana muwe wabunifu sana, acha maisha yaendele story yako bomba sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli kwene maisha unapunguza lawama yan ukiwa mtu wa kulalamika sana utakuwa unajifelisha mwenyewe, kila tatizo lichukulie kama challenge alafu litafutie suluhisho..
 
Hela huwa lazima wazirudishe si wanaangalia tu kwene system, yan kesho kutwa nlichek nkazikuta kwene account
Hiyo ishu ilinikutaga pale kariakoo ATM NMB, nimetoa pesa, nazisikia zinajihesabu kutoka hazikutoka, Na msg ikaja Nimetoa kias cha pesa.. nilivurugwa sana!! Ila badae Mlinzi akanieleweshee...! Ila Mkuu hongera kwa kumla kimasihara toto la kishua,, hawa wakishua dawa ni kujiamini tu yani ni warahisii mno.
 

mzee wa kazi hii kibabe sana nna story yangu moja hiyo mshikaji wangu alimpa a random girl namba yangu me sijui huyo mdada jamaa akamwambia jamaa anakuelewa yule dada akachukua namba siku amenitafuta nimeenda kumpigia nyuma ya nyumba yao alafu kuna mtu nlikuwa nasikia anamuulizia kwa ndani kumbe ni mume wake, wanawake wana genye sana
 

na mimi mwenyewe nlikasirika sababu nlikuwa nna ishue nazo ila atm za nmb nazo kwa kuhesabu hela na kutoa upepo hazijambo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Thanks man
 
ukirudia ni kiboga unaweka rehani mkuu😂😂😂
 
Hehehe Mkuu Kizibo hii mijidada ina K ambayo ukionja ,daah[emoji4]
Mkuu, hata saiv (Kama dk 30 zilizopita) kipindi game la Simba na Lyon likiwa halftime, Kuna kibonge nimemtest aje geto kesho kajaa, na namba amechukua kwamba atanitafuta, lkn naomba nikuhakikishie kesho ikifika jion nitaweka airplane mode asinipate hewani.

Nilishamkimbia mara 1 mwez wa 9 mwaka jana, leo napo nimejaribu akajaa!!

Yaani vibonge sina mzuka nao hata chembe!!!
 
Asante kwa ujumbe baba Karrine Steffans
 
Hivi vumbi la mkongo watu wanatumiaje na je lina impact? nataka siku moja na mimi nijaribu, naona hadi mobetto kwenye track yake kaimba vumbi la mkongo sijui baby piga vumbi la mkongo sijui kama ina madhara
Jaribu mkuu ,ila mm niliwahi kujaribu sikuona tofauti yoyote,nilishawishiwa na jamaa yangu akanipa kidogo nikapaka lakini sikuona matokeo nikaipuuza mpaka leo
 
Kwan umepata dalili zozote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…