Kuchepuka hakna 7bu yeyote, ni hulka na maamuzi ya muhusika.
Unless iwe kusalitiwa, hapo sawa kisasi ni muhimu.
Kama umeolewa na mumeo anachepuka na anakutimizia haha zako mtadumu kadi kifo kwenye ndoa yenu, Tatizo lenu mnataka kutumiliki kwa nguvu unataka ujue movement za mumeo hutoweza utapata stress tu
 
Kama umeolewa na mumeo anachepuka na anakutimizia haha zako mtadumu kadi kifo kwenye ndoa yenu, Tatizo lenu mnataka kutumiliki kwa nguvu unataka ujue movement za mumeo hutoweza utapata stress tu
Wee nae bhana, hii mada unayotaka kuanzisha sio mahali pake, maan nkianza kudondosha [emoji406], uzi utabadilika. Niishie hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Subiri na wewe kuliwa mkeo, malipo hapahapa duniani [emoji23][emoji23]
 
Labda Kama huwa unauziwa vumbi kama vumbi (udongo) na sio vumbi la kongo.

Ile kitu Ni hatar
 
Wacha wee simple n clear, hongera sanaaah, hivi uchawi wa mzungu ni gari? Hivi kabisa mtu anajirahisisha kisa lift ya gari? Au mie ndo sielewi.
Kwa kuwa wewe unalo,au kwenu mboga Saba,lakini wenzio,ukiwa na matairi 4,utawala utakavyo;
 
Mtu ambaye anaweza sema nakwepa ukimwi, natumia kinga ni mwanaume ila wanawake hapana, achana na hao wa bar, na mitaani hawa ndio bure kabisa, tena wenye akili kidg ni wanaojiuza,.. hamna ujanja kwenye hili gonjwa,
Alah!! kumbe? !!! nilidhani ni mimi tu wananifanyiaga sasa ngoja waje tena
 
Kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…