Jf kulivyokuwa na vichwa vibovu kuna wana saiv wanaplan kwenda kununua ndomu na kutumia njia hii kula kimasihara..

And to be honest,mimi pia nitai-apply mahali..japo haitakuwa kimasiraha kwa upande wangu coz it's a planned thing.
 
Haya Sasa, wale mnaoomba na picha tumewawekea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weng wao wanakuwa wanalipiza baada ya kuona waume zao wana wanawake wa nje, na wao wanahamua kuchepuka
 
Ndoa zimekuwa za kutafuta security tu ya maisha now days..za upendo wa kweli hamna.

Wake za watu wamekuwa simple nadhani because of that.
 
FQ HOTEL
 
Continyu.....
 
Bro wake za watu Ni vichomi .

Ukiwanogesha wanakuwa na wivu Sana [emoji1]

Kaa nao mbali [emoji1787]
 
Mtu anayeandika text kwnye S anaweka X kwangu hata angekuwa amatoka peponi leo, namuona pimbi wakutupwa jalalani

Sent from my RS988 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…