Yeah iyo nikm demu hajakuelewa .

Hata ivo, mke wamtu akishafika kwako, chukua simu yake, uizime .
Yessss..hii ndo kanuni yangu pendwa! Awe mke wa mtu au demu, uwe guest au geto, akizama ndichi tu shart la kwanza Ni ZIMA SIMU.
Kingine,nikiingia guest na mwanamke , awe dem au mke wa mtu naingia na vitu vifuatavyo
a) kisu Cha kukunja
b) bisbis
c) lighter (kiberiti Cha gesi)
Ukija kunifumania hakikisha unani-time kisawa sawa, ukizembea imekula kwako!! Mkija wengi nakufa na mmoja.

Siingiagi guest kiboya!!!
 
Mnajidanganya sana anyway subiri wakati ufike halafu uone kisu au bisbis kama itakuja kuwa msaada.

Dogo waziri mzima pamoja na kuwa na bastola lakn haikufaa akawekwa mtu kati mpaka polisi ndio walimuokoa. Ww unaongelea kisu na bisbis. Hahahaa hujakutana na shababi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa namba za mkeo halafu uje unifumanie, halafu uone nitakachokufanya!
 
Ujue mi nashangaaga sana watu wanang'ang'ania kupima, ili iweje sasa?
 
Hahahahah unikumbusha mbali sana mzee .

Niliwahi tafuta panga lile Kali bisu ,na gongo kubwa hivi .

Nikaweka chini ya kitanda demu asione .

Niliwahi sikia ana michezo ya kufumania na Jamaa yake halafu wanakupiga hela .

Sasa anaingia kwangu nikatatfuta zana hizo za mauaji nikaweka down

Aje boya yeyote anizungue simuachi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We jaribu ingia kumi na name yangu .

Soon sikucheleweshi nahakikisha unaimbiwa mapambio siku hiyo .

Huyo waziri ni fala alipaswa awatengue hata magoti
 
Kaza mwamba, miaka inaweza kuwa 30 mpaka 60!
 
Hukupga?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mm sitembei na silaha zaidi ya Wembe popote palee silaha nyingine ni mm mwenywe
 
Kuna wzr alitaka kunasa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…