HONGERA SANA
 
Niendeleze?
 
1: conversation opener
2: Hospitality pattern
3: kissing like a Greek god of love
4:Loop and hook seduction pattern
 
Uko ndani gesti unagongewaje mlango nawe unafungua? Mlango ukigongwa usifungue, vaa kabisa, wasiliana na jamaa zako weje kuingeza nguvu na usitoke humo hadi polisi waitwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lol
 
Mkuu ulitakiwa upate muda mzuri Wa kukafinyanga. Yaani mpaka nmetamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Banki za NMB waga wanafunga mida ya saa9 na nusu, ko probably ulivyomwambia aliekuwa anawashughulikia na kuwa na imani kwamba mtaenda lunch inamaana ilikuwa ni mida ya mapema zaid maana baada ya saa9 ni ngum kuingia so most probably mlienda kula mida ya saa8 hivi,
Kukaa mida ya saa8 mpaka mida ya saa3 usiku uku hella zimemezwa bila shida ni uongo, hayo ni masaa7,
All in all hii ni chai tu
 

we upo mkoa gani labda ? umewah kwenda mlimani city ukaona bank zinafungwa saa ngapi ? aje mtu hapa anisaidie, kama hiyo saa tisa na nusu ni kijijin kwenu sawa, alafu kitu kingine tulitoka sababu hata kama tungeendelea kukaa query yetu isingefanyiwa kazi siku ile ile sababu ili hela zirudi lazima wafanye audit ya hela za kwene machine, lazima hela zibalance ndio wajue za nani hazikutoka, na ishue ya kwenda nje sio kwamba ni lazima turud ndani tena kufuata hela, kumbuka kwamba wote tulishajua hiyo hela kwa siku hiyo tushaikosa, kilichokuwa kinatusubirisha ni kujua kama our call is on queue thats all , yan unaongea na mtu anaejua procedure zote za transactions zinazofanyika kwene ATM na Bank tena kama bank ulotaja naijua vibaya mno, we hata purge bin huijui, muwe mnakaa kimya mnajiabisha muda mwingine....Yan kwa taarifa ako mlimani city hadi jumapili mibenk inafunguliwa na wanakaa mpaka saa 11.
 
Hata kijijini zinafungwa saa kumi na nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda huwa ni vyema kukaa tu kimya. Kujiona unajua kila kitu.
 
Amka man bado upo usingizini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…