Colonel Hans Landa
Member
- Jan 27, 2021
- 15
- 33
Wewe ni kipepe.Ninazo zote unazozijua. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kujifanya unajua kila kitu ni mbaya sana mbele ya wasomi..!! Jamaa kateleza achana nae hajui lolote kuhusu hayo ya kibenkwe upo mkoa gani labda ? umewah kwenda mlimani city ukaona bank zinafungwa saa ngapi ? aje mtu hapa anisaidie, kama hiyo saa tisa na nusu ni kijijin kwenu sawa, alafu kitu kingine tulitoka sababu hata kama tungeendelea kukaa query yetu isingefanyiwa kazi siku ile ile sababu ili hela zirudi lazima wafanye audit ya hela za kwene machine, lazima hela zibalance ndio wajue za nani hazikutoka, na ishue ya kwenda nje sio kwamba ni lazima turud ndani tena kufuata hela, kumbuka kwamba wote tulishajua hiyo hela kwa siku hiyo tushaikosa, kilichokuwa kinatusubirisha ni kujua kama our call is on queue thats all , yan unaongea na mtu anaejua procedure zote za transactions zinazofanyika kwene ATM na Bank tena kama bank ulotaja naijua vibaya mno, we hata purge bin huijui, muwe mnakaa kimya mnajiabisha muda mwingine....Yan kwa taarifa ako mlimani city hadi jumapili mibenk inafunguliwa na wanakaa mpaka saa 11.
Wewe ungekuwa hapa mby ningekutafta nikule kimashala hahaaaNaona mumefulia soon naleta new story...itakuwa moto sio ya kukosa itwasomwa usiku tu...kama hauna mke andaa vitendea kazi maan haita muacha mtu salama
[emoji73]
Mkuu naweza fika hapo dakika 0 ukitaka[emoji6]Wewe ungekuwa hapa mby ningekutafta nikule kimashala hahaaa
Hahaaaaa njoo basi jamaniMkuu naweza fika hapo dakika 0 ukitaka[emoji6]
Utavumilia kuniona au ndo utazimia kwa mshituko [emoji3]Hahaaaaa njoo basi jamani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naona mumefulia soon naleta new story...itakuwa moto sio ya kukosa itwasomwa usiku tu...kama hauna mke andaa vitendea kazi maan haita muacha mtu salama
[emoji73]
Kwann nishtuke? HahahaUtavumilia kuniona au ndo utazimia kwa mshituko [emoji3]
Mkuu usihagaike kuwaaminisha watu. Cha msingi sisi tumeamini, na ni kweli mliman city bank wanachelewa kufunga, na bado bank zipo wazi hadi j2. So we endelea kutupa story nyingine. Hii tumeipenda kwa ujasiri wako, na mbinu zako.we upo mkoa gani labda ? umewah kwenda mlimani city ukaona bank zinafungwa saa ngapi ? aje mtu hapa anisaidie, kama hiyo saa tisa na nusu ni kijijin kwenu sawa, alafu kitu kingine tulitoka sababu hata kama tungeendelea kukaa query yetu isingefanyiwa kazi siku ile ile sababu ili hela zirudi lazima wafanye audit ya hela za kwene machine, lazima hela zibalance ndio wajue za nani hazikutoka, na ishue ya kwenda nje sio kwamba ni lazima turud ndani tena kufuata hela, kumbuka kwamba wote tulishajua hiyo hela kwa siku hiyo tushaikosa, kilichokuwa kinatusubirisha ni kujua kama our call is on queue thats all , yan unaongea na mtu anaejua procedure zote za transactions zinazofanyika kwene ATM na Bank tena kama bank ulotaja naijua vibaya mno, we hata purge bin huijui, muwe mnakaa kimya mnajiabisha muda mwingine....Yan kwa taarifa ako mlimani city hadi jumapili mibenk inafunguliwa na wanakaa mpaka saa 11.
Nitakavo tua hapo ghafla..na nikwambie ni mimi qeen jojo utaweza kuvumilia?Kwann nishtuke? Hahaha
[emoji56][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naona umebadili avater[emoji56]
Mm sio mwoga hata kidogo hahaaaNitakavo tua hapo ghafla..na nikwambie ni mimi qeen jojo utaweza kuvumilia?
YeahNaona umebadili avater
Sawa nitakuja dearMm sio mwoga hata kidogo hahaaa
Mkuu usihagaike kuwaaminisha watu. Cha msingi sisi tumeamini, na ni kweli mliman city bank wanachelewa kufunga, na bado bank zipo wazi hadi j2. So we endelea kutupa story nyingine. Hii tumeipenda kwa ujasiri wako, na mbinu zako.
Eti umemsalimia " shikamoo" [emoji1787]
We mzee Kama ndio michezo yako kula viboga vya watu just hauko salama hata wewe kitaliwa kwa kisasa .Mkuu acheni kubisha ukidakwa na mke wa mtu watu wanaweza kula kiboga bila shida? Na ucfifanye chochote... kwanza cku kinachofanyika unapewa warning ukileta ubishi wana kodiwa watu tòka mkoa unatengewa mtego wa demu then wanakuteka unaenda fumuliwa rinda vzr tu na vjana wenyewe wa cku hz wanavyopenda kitonga akiwekewa mtego wa dem mkali na pombe hachomoi
Hahahah mods wambea sanaFungua nyingine, ila mods wakizidaka wakaziunga hapo inabidi uombe Mungu akutie nguvu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]